Hahahahaha! Natazama TBC mwenyewe niko hoi. Yaani mpaka mtangazaji mwenyewe akawa anaogopa kumwachia aongee mara amkatishe kuzungimza na ameona ni noma ile mbaya. Masikini mkurugenzi wa TAKUKURU, hana hamu. Kesi 18 Tanzania nzima? Yaani wagombea uraisi walikuwa zaidi ya 3, wabunge nafasi zaidi ya mia tatu na wagombea zidisha mara 3, nafasi za madiwani elfu moja piga mara 3 na unatuambia mumefanikiwa kufungua kesi 18? Basi Tanzania tumeshinda vita vya rushwa atiii? Mmh! Inatia shaka.
Tundu lissu ni jembe, mkali kinyama!
tundu lisu anawachana live takukuru, anawaponda ile mbaya. Huyu mkuu mimi namkubari kwa vubaya mno. Bunge zima hakuna kama yeye.
Hata Maralia Sugu aka Tambwe Hiza analijua hili.sasa nani alikuwa anabisha kuwa mbunge mmoja wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa magamba, isipokuwa shibuda tu,
sio mmoja wao ni JK.Lakini sina mkumbuka hata mmoja wao alisema ni afadhali CDM ipate uraisi kuliko Tindu Lisu kuwa mbunge .
Safi sana Lissu.............................. Wabunge wa CCM wanatuharibia meza kazi yao kuzipiga kila kukicha kwa kutetea uozo.
Hata Maralia Sugu aka Tambwe Hiza analijua hili.
Kwa kweli yupo kimasirahi ya taifa zaidi
I like him
Bhe bhe shiii, lekagi! majina ya wauza unga jk anayo! na ya wala ruhwa nani anayo?
Lakini sina mkumbuka hata mmoja wao alisema ni afadhali CDM ipate uraisi kuliko Tindu Lisu kuwa mbunge .