Tundu Lisu kiboko wa Pindaaa

Tundu Lisu kiboko wa Pindaaa

Yasser5

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
207
Reaction score
17
Breaking newz:Tundu Risu amkaanga pinda asema apigiwe kura ya kutokuwa na imani na serikari yake dhidi ya kila mbuge anaye amka kuchangia anasema serikari wezi wezi wezi
akasema kama serikali ndo yenye rungu la kushughukia hwa wakurgenzi na watendaji wengne lkn serikari imekaa kimya sasa pinda wa nini Tanzania?
Nnaunga mkono hoja pinda wa nini?
Nawasilisha
 
kabisa kaka, ila sio pinda tu ila pinda na jk wa nn nchi hiiii?
 
Hana umuhimu, ni hasara tupu, ni mzigo tu, ni janga tu, mzee wa hekaya za mchakato, kujipanga, na madudu gani sijui, khaaa!!
 
Mh Keissy kiboko. Anataka sheria ya kuwanyonga wote. Lakini tuseme ukweli kuna Syndicate ya kula pesa ya serikali nchi hii.
 
amewapa changamoto wabunge wa ccm kuwa wao ccm ni wengi na kwa wingi wao wakiamua kuiwajibisha serikali wanaweza.
 
Breaking newz:Tundu Risu amkaanga pinda asema apigiwe kura ya kutokuwa na imani na serikari yake dhidi ya kila mbuge anaye amka kuchangia anasema serikari wezi wezi wezi
akasema kama serikali ndo yenye rungu la kushughukia hwa wakurgenzi na watendaji wengne lkn serikari imekaa kimya sasa pinda wa nini Tanzania?
Nnaunga mkono hoja pinda wa nini?
Nawasilisha

Hata Wananchi kama tungelikuwa na uwezo wa kupga kura ya kutokuwa na IMANI na Serikali. Bila shaka wengi wangeliiunga mkono hoja hiyo.

Lakini Bunge ndilo lenye uwezo huo na utashangaa Wabunge hao hao wataingiza SIASA katika suala kaa hili nyeti.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
hata wananchi kama tungelikuwa na uwezo wa kupga kura ya kutokuwa na imani na serikali. Bila shaka wengi wangeliiunga mkono hoja hiyo.

Lakini bunge ndilo lenye uwezo huo na utashangaa wabunge hao hao wataingiza siasa katika suala kaa hili nyeti.

mizambwa
nabii mtarajiwa!!!

sina imani na serikali yangu msema ukweli mpenzi wa mungu. Pinda, mkulo nk watoswe na wabunge wooote wa ccm kwishney hatuwataki 2015 mbali sana jamani
 
Breaking newz:Tundu Risu amkaanga pinda asema apigiwe kura ya kutokuwa na imani na serikari yake dhidi ya kila mbuge anaye amka kuchangia anasema serikari wezi wezi wezi
akasema kama serikali ndo yenye rungu la kushughukia hwa wakurgenzi na watendaji wengne lkn serikari imekaa kimya sasa pinda wa nini Tanzania?
Nnaunga mkono hoja pinda wa nini?
Nawasilisha

huyo TL ana muda mfupi tu umebaki wa yy kuwa mbunge hadi 27/04/2012, akamuulize mwenzie lema yuko wapi achana na kitu pinda bana
 
Hakuna kitu kama hicho Tanzania. Nafurahi kutoa maoni katiba mpya, kusiwepo na nafasi ya waziri mkuu kwani hana maamuzi hadi mkubwa wake arudi kutoka Brazil.

Hata Wananchi kama tungelikuwa na uwezo wa kupga kura ya kutokuwa na IMANI na Serikali. Bila shaka wengi wangeliiunga mkono hoja hiyo.

Lakini Bunge ndilo lenye uwezo huo na utashangaa Wabunge hao hao wataingiza SIASA katika suala kaa hili nyeti.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
ipigwe kura ya kutokuwa na imani na serikali yote..............tumewachoka kama nepi iliyonyewa na mtoto .
 
Rrrgh mtu mwoga ambaye hawezi mfukuza kazi mtu, kila kitu anamsakizia rais wa nini? Anakula kodi zetu bure tu. Achinjiwe baharini tuu
 
Nimefurahia sana na kuona hata hao hao CCM wakiwa wanaikaanga Serikali yao, ni kweli Pinda ni km bendera afuata upepo tu hana jipya na mawaziri wake.Mi kwa maoni yangu hata sisi wananchi tukiunga tukafanya yaliyofanya na waalgeria, misri, yemen syria tunawang'oa hawa wezi wakubwa.
 
Pinda kapinda na serikali ya mshkaji wake jk aka bwana harusi, aka bwana misosi aka discoverer (vascooooo)
 
huyo TL ana muda mfupi tu umebaki wa yy kuwa mbunge hadi 27/04/2012, akamuulize mwenzie lema yuko wapi achana na kitu pinda bana

kweli waheshimiwa hao magamba hatuwawezi wana sera ya kulindana
 
Pinda kapinda na serikali ya mshkaji wake jk aka bwana harusi, aka bwana misosi aka discoverer (vascooooo)
a.ka. mzee wa products za victoria secrets! (totoz) ndio haswaaaaaaaaa ugonjwa wake! realy pathetic! long live our prezidar!
 
huyo TL ana muda mfupi tu umebaki wa yy kuwa mbunge hadi 27/04/2012, akamuulize mwenzie lema yuko wapi achana na kitu pinda bana

Unaweza kuua na kufukia kaburini, lakini kidole cha shahada kitashuhudia. Kuwahukumu wapinzani kwa hila hakutabatilisha haki na mapenzi ya wapiga kura wao. Mmefilisi serikali na huku mnataka chaguzi ndogo kwa lazima; sawa lakini muyapokee matokeo na gharama zake kwa moyo mkunjufu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom