Tundu Lisu: Huko Uraiani kuna Habari gani?

Tundu Lisu: Huko Uraiani kuna Habari gani?

Kuna uzi humu raia wanaipongeza mahakama kuhakikisha Lissu anapata mahitaji yake muhimu, ila sikuusoma vzr Ile mada 😎
Nahisi lazima atakuwa anapikiwa mlenda vuguvugu.

Mlenda vuguvugu I mean 😎.
 
Mtu aliyefungiwa ndani peke yake akikuuliza nje kukoje inabidi utafakari kwa Hekima sana

Mungu wa mbinguni huwatokea na kunena na Waja wake faraghani

Aiseee 🐼
Unahangaika sana, kwa vile umechanganyikiwa.
Watu wa aina yenu ndivyo mlivyo.
 
Ataongoza ukombozi wa kweli kwa watanzania kutoka katika utawala wa kiimla wa ccm! Na wajukuu zako watamsoma kama baba wa kweli wa utawala wa kisheria na kidemokrasia nchini! JIANDAE KISAIKOLOJIA📌
Amka utajikojolea
 
Mtu aliyefungiwa ndani peke yake akikuuliza nje kukoje inabidi utafakari kwa Hekima sana

Mungu wa mbinguni huwatokea na kunena na Waja wake faraghani

Aiseee 🐼
mungu anahusikaje hapa?

lissu amekua mtakatifu mno mpaka mungu anamtokea anaongea nae?

aiseee

this is madness!
 
Ajibiwe tu, kwamba kwa miaka minne Simba hajawahi kuifunga Yanga na hajachukua ubingwa, very simple
 
Back
Top Bottom