ThinkPad JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,844 Reaction score 236 Jul 3, 2009 #1 Jamani hivi huyu mwanasheria mbona sikuhizi hasikiki redio wala tvoni kulikoni jamani ?
A AmaniKatoshi Senior Member Joined Mar 31, 2009 Posts 158 Reaction score 14 Jul 3, 2009 #2 ThinkPad said: Jamani hivi huyu mwanasheria mbona sikuhizi hasikiki redio wala tvoni kulikoni jamani ? Click to expand... Ndugu habari za asubuhi? Unaonekana umeamka usingizini!
ThinkPad said: Jamani hivi huyu mwanasheria mbona sikuhizi hasikiki redio wala tvoni kulikoni jamani ? Click to expand... Ndugu habari za asubuhi? Unaonekana umeamka usingizini!
ThinkPad JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,844 Reaction score 236 Jul 3, 2009 Thread starter #3 AmaniKatoshi said: Ndugu habari za asubuhi? Unaonekana umeamka usingizini! Click to expand... kweli ndo nimeamka tell me now
AmaniKatoshi said: Ndugu habari za asubuhi? Unaonekana umeamka usingizini! Click to expand... kweli ndo nimeamka tell me now
Sinkala JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 1,773 Reaction score 688 Jul 3, 2009 #4 ThinkPad said: Tindu Lissu yupo wapi? Click to expand... Kwa kuweka records sawa, jamaa anaitwa Tundu, na si Tindu. Ila kwa hilo swali lako, hata mimi nasubiri jibu humu.
ThinkPad said: Tindu Lissu yupo wapi? Click to expand... Kwa kuweka records sawa, jamaa anaitwa Tundu, na si Tindu. Ila kwa hilo swali lako, hata mimi nasubiri jibu humu.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,506 Jul 3, 2009 #5 Mi Tindu Lissu namkubali sana yaani ni kichwa.
Josh Michael JF-Expert Member Joined Jun 12, 2009 Posts 2,523 Reaction score 91 Jul 3, 2009 #6 Anaandika vitabu na kufanya tafiti kule North Mara kuhusu migodi na yupo pamoja na Viongozi wa Kitaifa wa Chadema. Anapitia mikataba ya madini.
Anaandika vitabu na kufanya tafiti kule North Mara kuhusu migodi na yupo pamoja na Viongozi wa Kitaifa wa Chadema. Anapitia mikataba ya madini.
ThinkPad JF-Expert Member Joined Apr 11, 2008 Posts 1,844 Reaction score 236 Jul 3, 2009 Thread starter #7 Aksante sana maana niliona jiiiiiii!!!!
Kimori JF-Expert Member Joined May 26, 2008 Posts 213 Reaction score 26 Jul 3, 2009 #8 Mbona last two weeks alionekana TBC1 akielezea issue ya mgodi wa North Mara?
Josh Michael JF-Expert Member Joined Jun 12, 2009 Posts 2,523 Reaction score 91 Jul 3, 2009 #9 Kimori said: Mbona last two weeks alionekana TBC1 akielezea issue ya mgodi wa North Mara? Click to expand... Ndio maana nasema kuwa yupo Mara anafanya utafiti wa Athari za sumu toka Mgodi wa North Mara na athali zake pia yupo katika ushauri wa kisheria kuhusu uchaguzi kule biharamulo
Kimori said: Mbona last two weeks alionekana TBC1 akielezea issue ya mgodi wa North Mara? Click to expand... Ndio maana nasema kuwa yupo Mara anafanya utafiti wa Athari za sumu toka Mgodi wa North Mara na athali zake pia yupo katika ushauri wa kisheria kuhusu uchaguzi kule biharamulo
U Ubungoubungo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2008 Posts 2,502 Reaction score 743 Jul 22, 2009 #10 AU unataka kufata umfanyie umafia wewe, kwanini uulize mtu binafsi humu?