lisso raphael
Member
- Jan 16, 2015
- 30
- 6
huyo jamaa ni hatari snaa anajiamini ile mbaya.
Ndioo naaanii???
Niwe mkweli kabicha wasipokuwepo hawa wabunge
Lissu, Msigwa na Mnyika huwa siendelei kuangalia Bunge.
mdomo hauna ulimiNaunga mkonyo hoja,
mdomo hauna ulimi
Niwe mkweli kabicha wasipokuwepo hawa wabunge
Lissu, Msigwa na Mnyika huwa siendelei kuangalia Bunge.