Duma R. SIFFI
Member
- Nov 18, 2011
- 7
- 0
Wadau naomba mnisaidie katika hili?,
Tulizoe kumsikia kijana wetu, jembe letu, mwanaharakati mwenzetu, mpiganaji n.k akichachafya ndani na nje ya bunge laki tangu bunge lililopita sijamsikia popote pale sio Arumeru wala Kirumba, naomba kujua hili jembe limeingia mitini wapi? Kama kuna mtu mwenye taarifa yeyote naomba anijuze kilichomkuta mwanaharakati huyu.