Umeongea kitu cha maana sana The Boss.
Kosa la ukawa ndilo hilo,ccm wanaweza kukubali tume huru na vitu vingine lakini siyo kukubali serikali tatu,ukawa walikuwa na nafasi kubwa kutengeneza mazingira mazuri ya wao kufanya kazi kupitia bunge la katiba.
Wangebaki ingekuwaje, mbona unakuwa kama vile ulikuwa huelewi kilichokuwa kikiendelea? CCM walikuwa wamejipanga kukwamisha hata hilo unalolisema. Hivi unakumbuka jamaa waliamua kufufua marehemu apige kura?Hoja za tume huru ya uchaguzi haikufika
walitoka kabla....
Bado katiba hii yenye viraka chungu nzima pamoja na ubaya wake inaruhusu maandamano na mikutano ya vyama vya upinzani ambayo hakuna yoyote mwenye ruhusa ya kuwaamulia wapinzani nini kuzungumza kwenye mikutano yao na wapi pa kufanyia mikutano yao bila kujali kama wana mbunge kwenye jimbo husika au la. Na yeyote anayewazuia wapinzani kufanya hivyo anakiuka katiba ya nchi.
Mr, nithubutu kusema Mara nyingi wewe huongea kwa kifupi, huchangia kifupi.Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya
mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa
ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo....
Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu....
'Bunge la Katiba'.....
Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu
yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba'
hata UKAWA ni kama alianzisha yeye....na wengine wakamuunga mkono...
Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge
la katiba kwa 'faida' zingine...hilo lingewezekana
Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM....ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.....
lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote
muhimu za Rasimu ya Warioba.....
Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi
1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais... na kadhalika na kadhalika
Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu...
Hata Kenya now wametuacha.....Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake
washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.....
Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS...
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta
Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now...huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.....
Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri ....
wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.....
Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba
ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii....ilikuwa a big mistake....
sasa haya ndo mavuno.........tumerudi nyuma miaka 50.......
some opportunities never comes twice....
Wangebaki ingekuwaje, mbona unakuwa kama vile ulikuwa huelewi kilichokuwa kikiendelea? CCM walikuwa wamejipanga kukwamisha hata hilo unalolisema. Hivi unakumbuka jamaa waliamua kufufua marehemu apige kura?
Katika maisha siku zote ni muhimu kukumbuka makosa tunayoyafanya
mara chache sana sisi binadamu tunakumbuka na kukubali makosa
ambayo tumeyafanya zamani na yanakuja kutuumiza leo....
Kama ndugu Tundu Lissu atapitia hapa ni vizuri akakumbuka kitu....
'Bunge la Katiba'.....
Hakuna mtu katika bunge lile la katiba aliekuwa na nguvu kama Tundu Lissu
yeye alikuwa ndo 'roho' ya kila mtu alietaka 'Rasimu ya Warioba'
hata UKAWA ni kama alianzisha yeye....na wengine wakamuunga mkono...
Itoshe kusema kuwa kama Tundu Lissu angeweza kuwashawishi wenzie wabaki kwenye bunge
la katiba kwa 'faida' zingine...hilo lingewezekana
Tusisahau original wanaUKAWA walikuwepo hadi wana CCM....ambao walikuwa
wanataka 'Rasimu ya Warioba' iheshimiwe.....
lakini kosa kubwa kabisa la wanaUKAWA ni 'kubeba hoja za Tanganyika' mbele ya hoja zoote
muhimu za Rasimu ya Warioba.....
Rasimu ya Warioba ilikuwa ina faida nyingi zaidi
1.Tume huru ya uchaguzi
2.Kufuta wakuu wa wilaya
3.kupunguza madaraka ya Rais... na kadhalika na kadhalika
Leo Tundu Lissu anakamatwa na polisi kwa 'amri za wanasiasa'
Bunge la katiba lilikuwa na nafasi ya kupiga marufuku polisi kupewa amri ya kumkamata mtu...
Hata Kenya now wametuacha.....Rais wa Kenya hawezi kuitumia polisi kukamata wapinzani wake
washalimaliza hilo kwa kupitia katiba.....
Leo Rais anateua makada kuwa wakuu wa wilaya na ma DAS...
Katiba hii iliyopo ambayo Magufuli anaitumia ni mbovu kuliko ile ya Samuel Sitta
Laiti kama Tundu Lissu angetumia ushawishi wake japo kupata 'katiba nafuu'
kuliko hii anayoitumia Magufuli now...huenda leo wapinzani wasingekuwa 'wanalia kupigwa marufuku siasa'.....
Leo Magufuli angelazimika tu kuheshimu na kufuata baadhi ya vitu
Polisi wasingepokea amri ....
wakuu wa mikoa na wilaya labda wasingekuwepo hawa waliopo na kadhalika.....
Tukubali tu kwa Wana UKAWA then kususa kushiriki katika bunge la katiba na kuipinga Katiba
ya Sitta ambayo laiti wangeshiriki ingekuwa better kuliko hii....ilikuwa a big mistake....
sasa haya ndo mavuno.........tumerudi nyuma miaka 50.......
some opportunities never comes twice....
Sidhani kama umeelewa maudhui ya mada.Jikite kwenye mada
Hiyo katiba ya warioba haijaanza kufanya kazi hata kama wangekuwepo wakaipigania isingekuwa sulihisho la leo ingefanyiwa mizengwe tu
Pili kama Rais anatumia katiba ye sasa kutuma polisi wakamate wapinzani katiba hiyo pia inatoa uhuru wa wapinzani kufanya mikutano na maandamano..sasa aitumie kama inavyotakiwa na vifungu vyote
Bado katiba hii yenye viraka chungu nzima pamoja na ubaya wake inaruhusu maandamano na mikutano ya vyama vya upinzani ambayo hakuna yoyote mwenye ruhusa ya kuwaamulia wapinzani nini kuzungumza kwenye mikutano yao na wapi pa kufanyia mikutano yao bila kujali kama wana mbunge kwenye jimbo husika au la. Na yeyote anayewazuia wapinzani kufanya hivyo anakiuka katiba ya nchi.
Mkuu The Boss, hebu tukumbushe ni nini hasa kilichowafanya Ukawa watoke nje kwenye Bunge la Katiba?Ugomvi mkubwa wa CCM ulikuwa ni Tanganyika
tume huru hakuna haikujadiliwa kabisa
Mkuu The Boss, hebu tukumbushe ni nini hasa kilichowafanya Ukawa watoke nje kwenye Bunge la Katiba?
Escrow ilijadiliwa kwa kuwa wapo waliotaka uwaziri kwahiyo walifanya hivyo ili wenzao wajiudhulu na wao wapateWangeshiriki hakuna anaejua wangepata nini
si wapinzani hawa hawa walijadili Escrow?
na watu wakajiuzulu?
wangeshindwa nini kupata mengine hata la kuzuia tu Rais kuamuru jeshi la polisi?
Ndio,walikuwa pale kutetea maoni ya watanzania ambayo tulitoa kupitia tume ya warioba!Pale ndio tulijua wako kwa ajili ya wananchi!Wao walitaka kupata kila kitu
kumbe wangepata tu hata Tume huru ya uchaguzi ingewasaidia....
Escrow ilijadiliwa kwa kuwa wapo waliotaka uwaziri kwahiyo walifanya hivyo ili wenzao wajiudhulu na wao wapate
ile rasimu ilikuwa nzuri ila wasingeweza kuipitisha
Ni muhimu pia utambue kwamba msingi wa katiba uko kwenye eneo hilo, kama tunataka kuwa wakweli. Lakini swali langu linaweza kuwa je, unataka kutuambia kuwa kama Ukawa wangerudi kwa sharti hilo unalolisema una uhakika kwamba zisingetafutwa kura za marehemu?Rasimu ilitaja serikali tatu
CCM walipinga hilo.....hiko ndo kilikuwa kipengele cha mwanzo
wapinzani wakatoka nje hata kipengele cha tume huru ya uchaguzi hakijafikiwa
matokeo yake ndo haya Tume ya Lubuva....