Tundu Lissu umeniagusha!

Lissu alikurupuka lakini baadae alikubali kurekebishwa kwa hiyo mambo yameisha.Sasa angekuwa ndo zitto kakosea ungeona thread ingekuwa page ya ngapi hapa
 
kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.
Kila mtu anakosea, hakuna alokamilika ila kuna kasumba ya kuwalaumu sana tusiowapenda wanapokosea hata makosa ya kawaida, hii si sawa.
 
kwa nini mnabishia rutakyamilwa kwa mambo ya kipuuzi aliyoyafanya lissu kwa vile humu wamejaa pro-cdm basi asikosolewe mnadhimu wa kambi ya upinzani? Ni mara ngapi anataka ajionyeshe kwenye tv tuu tena leo kabisha kwa ukali kabisa km kawaida yake huku akizunguka pande zote na kumshutumu mwakyembe.
Tuwe bias na hoja zinazowekwa humu (wakweli)

sijaelewa msatari wa mwisho.unamaanisha nini hapo?
 
Back
Top Bottom