Tundu Lissu uliyoyanena yanaendelea kutimia

Mh.Lissu ulituonya kuwa leo hii ni wapinzani na baada ya hapo itakuwa ni zamu ya wengine maana hiyo ndio tabia ya madikteta na leo naona wakina fulani wameanza kugeukwa.

Na huu ni mwanzo tu.

Kweli muda ni mwalimu mzuri(muda ni kiboko yao).
Bashe na Msukuma huenda wakafutwa uanachama kwa sababu zilizowafanya wakawekwa selo leo. Kweli TAL alishasema na sasa yameanza kutimia!
 
Siwezi kuelewa


Great Thinker anajua hata jalalani kuna vitu vya thamani...!! Kukata kujifunza kwa usiyempenda ni ishara ya uwezo mdogo wa kufikiri...!! Unafikiri na kufanya tafakuri nzuri kama kuna kilicho kinyume chako...!!





Tafakari...!!
 
Na bado, Dikteta atawanyosha wote. Hata mama Jesca aliwaonya CCM kisiri lakini wakampuuza, leo cha moto wanakiona.

Safi sana Ngosha, uzi huo huo mpaka wakuabudu, kukuombea wameshachoka.
Mmeshawasha chemli huko...wanaume tutachoka if you know what I mean
 
Bashitelization in nature.......lazima afanye hivyo maana vinginevyo jamaa wangeamsha ajenda ya vyeti bungeni.
 
Hakuna Dikteta Zaidi ya Mbowe,.Kwanza mtuambie Mbowe atakuwa mwenyekiti mpaka lini!!?
Alikuwa mwenyekiti Tundulisu Bado mbichi
leo Mbowe nimwenyekiti Tundulisu makunyanzi usoni yamemjaa
wala haja jaribu kunyanyua kopo lake kusema!!

Mbowe anabadili Katiba kujioa mamlaka yakuwa mwenyekiti mpaka pale jeneza lake linaingia Shimoni
mbona Tundulisu Hajaoanua Kopo lake!!?

Leo yanawauma ya Ccm nyie mpoje!!

Mkapa kagombea urais mfululizo
Jk kagombea urais mfululizo
Dk Sheni kagombea urais Mfululizo
Leo Kwa Magu iwe Nongwa!!?

Mchukie,msipende
MAGUFULI NDIYE RAIS MPAKA 2025
Soma vizurii Hoja ndugu unaweza ukapanik kumbe hoja haikuumizii kuna wakina Fulani walitaka wakatoe Hoja ya kumpinga mweshimiwa Mwenye kitii,,
Wako wapiii??
 
Hakuna Dikteta Zaidi ya Mbowe,.Kwanza mtuambie Mbowe atakuwa mwenyekiti mpaka lini!!?
Alikuwa mwenyekiti Tundulisu Bado mbichi
leo Mbowe nimwenyekiti Tundulisu makunyanzi usoni yamemjaa
wala haja jaribu kunyanyua kopo lake kusema!!

Mbowe anabadili Katiba kujioa mamlaka yakuwa mwenyekiti mpaka pale jeneza lake linaingia Shimoni
mbona Tundulisu Hajaoanua Kopo lake!!?

Leo yanawauma ya Ccm nyie mpoje!!

Mkapa kagombea urais mfululizo
Jk kagombea urais mfululizo
Dk Sheni kagombea urais Mfululizo
Leo Kwa Magu iwe Nongwa!!?

Mchukie,msipende
MAGUFULI NDIYE RAIS MPAKA 2025
Kumbe hawa watu bado wapo?hahahahahag
 
Back
Top Bottom