Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,212
Masikini Tundu Lissu, amerudi toka ughaibuni sasa.
Lakini si kishujaa!
Lalamiko lake la kwanza alipoonana na Mama Samia huko Ubelgiji, ilikuwa pesayake, mafao.
Ni kweli mlo hata kwa mwanasiasa ni muhimu, ataishije?
Mambo ya siasa yakawa secondary, hayakuwa na umuhimu sana kwake.
Mama Samia kaondoa fitna za kisiasa zilizoachwa na mtangulizi wake, Magufuli.
Sasa Mbowe yuko huru, Lissu karudi Bongo.
Lakini mapokezi ya Lissu yamekuwa ile wazungu wanasema , lukewarm, vuguvugu, na si motomoto.
Hilo Lissu hajui, nimatokeo ya mama Samia kukubalika kwa wananchi walio wengi, ukilinganisha na mwendazake.
Hivyo hata sababu za kumpinga mama wazi wazi hzionekani kuwa na maana sana.
Lissu( na CHADEMA) akubali asikubali, playing field imebadilika sana.
Sasa Lissu anazunguka mikoani akilia kama Yohana Mbatizaji.
Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.
Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.
Kwa sasa hivi Lissu is irrelevant.
Sijamsikia Lissu akiongea lolote la maana juu ya Katiba Mpya...kuna watu wana HOFU na elimu ya uraia anayoitoa Lissu huko anakopita.
Sijamsikia Lissu akiongea lolote la maana juu ya Katiba Mpya.
At any rate Lissu ni mwanasheria wa haki za binadamu na mazingira na si Constitutional Lawyer.
Mkuu Lissu mnamuoverate.Unavyomzungumzia Lissu utadhani ameanza harakati za kisiasa kipindi cha mwendazake.
Hebu tafakari upya.
LOOh!Na hilo ndo paradox.
Lissu kadoda, hana jipya.
Ile confrontational style yake haina tija kwake wala kwa siasa za Tanzania.
Namshauri akubali tu kuwa a political backbencher, asuburi aone upepo kwanza.
Tena "kuponda na kubeza" kwa msukumo wa ushabiki tu, huoni hilo ni jambo la kushangaza kweli?..kuna OMBWE la Constitutional Lawyer kutoa elimu ya uraia ndio maana unaona Lissu ameingia mtaani.
..tunahitaji kuwatia shime wanaharakati kama Lissu wanaojaribu kuwafikia wananchi haswa mikoani.
..Nadhani tunakosea kumponda au kumbeza Tundu Lissu.
Duuh.....!LOOh!
Mbona unahukumu mapema na haraka hivyo?
Huko juu ya makala unasema "mama kakubalika sana", wapi? Umewahoji watu gani wakakwambia hivyo?
Mbowe kuwekwa mfukoni kusiwalaze akili ukadhani waTanzania wote akili zao zimelala.
Acha Lissu afanye anavyotaka mwenyewe kufanya, mbona mnakuwa na hofu mapema kiasi hiki?
Mhimize tu mama aendelee kusawazisha uwanja, halafu kazi waachie wachezaji. Usipange matokeo kwa kutumia nadharia tu. Mbona hata kazi haijaanza?
"Voters' turnout" would be questionable!...come 2025 how does JPM...
Kumbe hajarudi?....Mlete dereva akuumbue pumbavu...
CHADEMA should seriously think of their way foward.Mimi nilitegemea mikutano kuruhusiwa moto uwake! Lakini hata JF naona nyuzi za Sukuma gang wakomeshwa and a like! Chadema imepoa kama hawajui wafanye nini zaidi ya kushinda tweeter tu.
Chadema wengi baada ya kunyooshwa na chuma kwasasa kila hisani inayofanywa kwao inawafanya waone haya hata kufoka [emoji1] . Hata Lissu treatment anayopata sasa anajikuta ubinadamu unamuingia inabidi amseme mama kwa adabu kidogo [emoji1]
Tunapenda au hatupendi tunahitaji mabadiliko kwenye siasa za upinzani. Kuna kila dalili uchaguzi ujao watakuwa dhaifu zaidi. Chadema wamekaa kwenye maridhiano wakisubiri peremende ambazo wenzao wanajua how to fix it.
Kuelekea uchaguzi watarudi kwa raia wakipiga mayowe kwa kudanganywa kwenye maridhiano.
Magufuli hatoachwa kusemwa kwani wahanga wa maovu yake tupoWanasiasa hawajakubali Hali halisi , inavyotakiwa wafanye tuu siasa na sio kumtaja taja Maghufuli na kumsema , hyo inawafanya wadharaulike Kwa wananchi , ni aheri waliache tuu jina la Maghufuli wapambane na changamoto zilizopo , unapomnanga JPM hakikisha Una backup ya nguvu ya Dola bila hvyo utachina tuu
Maovu yapi aliyowatendea embu yataje kama wewe kakutendea nini pia tutajie?Magufuli hatoachwa kusemwa kwani wahanga wa maovu yake tupo
Does it matter if there's a winner eventually!!?"Voters' turnout" would be questionable!
Kuua sekta binafsiMaovu yapi aliyowatendea embu yataje kama wewe kakutendea nini pia tutajie?
Lisu hakusanyi kodi. Tafuta hela acha kushinda JF.Lakini yeye hana njia yoyote ya kuonyesha, njia nzuri kuliko ya CCM na mama Samia.
Magufuli hakuwa na chuki na Matajiri wote alikuwa na chuki na Matajiri wakwepa kodi, wadhulumaji,wanaopata utajiri kwa njia isiyohalali,Kuua sekta binafsi
Kubambikizia Kodi
Kesi za uhujumu uchumi
Wafungwa wa kisiasa
Kupora uchaguzi
Kuvuruga uchumi
Chuki kwa matajiri
JPM was a saddist
Sekta binafsi ipi ilikufa tutajie?Kuua sekta binafsi
Kubambikizia Kodi
Kesi za uhujumu uchumi
Wafungwa wa kisiasa
Kupora uchaguzi
Kuvuruga uchumi
Chuki kwa matajiri
JPM was a saddist