Nyerere huyu ni yupi?"Rudi mwanangu nyumbani ufanye na kurekebisha yale yanayo nitia simanzi huku niliko. 1995 niliposema siwezi kuikabidhi nchi kwa mbwa watu hawakunielewa wakasema nawatukana, lakini natumaini sasa wameelewa nilimaanisha nini. Muumba alizuia usije huku ili ukamilishe kazi anayotaka uifanye na wazee waliotangulia huku wote wanakutaka ukaifanye hasa mzee Kingunge anasema Tanzania sio barabara ya kuhitaji nyapala bali ni nchi inahitaji Rais"
Akisikika Mwalimu akizungumza na washiriki wenzake wa kikundi cha matarumbeta kumsifu Mungu.View attachment 1195569
Ni yule tuliyeambiwa na Tundu alizoea vya kunyonga?