Nilisikia Kabuti ni mtaalam wa sheria ya maswala ya kijamii, whatever that means!Hapa kwa mtu mwenye elimu ya hapa na pale lazima Jasho limtoke kwenye meno Leo tumepata tuition ya masaa 4 bila kupumzika vichwa karibu vipasuke hapa hata kabudi alikuwa anakula shule kwa kisiri wakina katuga walikuwa wanachukua hadi notes
Ukijumlisha wewe mchangiaji nyumbu kutoka lumumba. Kwa hoja hamna uwezo wa kushindana na Lissu bila ya figisu zenu za simu moja kutoka juu.Lini mashabiki wa alikiba au diamond waliwahi kuponda nyimbo za wasanii hao? Mada ni ya nyumbu, wachangiaji ni nyumbu piaš¤£š¤£š¤£š¤£
Troll haeleweki, kwa maana ya yeye pia kutojielewaKwamba Leo ume mkubali?
Huu ndo tuna ita UNAFIQ
Mkuu ikikupendeza Bora update uweke hata katika Uzi huu.
Jana waufukweni hajaweka update yoyote kafungua Uzi kapotea. Ndio maana hata subsidiary thread Jana zimepotea kabisa nikagundua kumbe watu hutumia update za hapa hapa jamiiforam kufungulia nyuziTatizo kachagua Upande hatukaki kutuletea Update za kinyumbu Nyumbu
Jukumu liwe kwa mtu yupo huru
Sio Manyanza mwenyewe ni Nyumbu
Yupo kudanganya
Mayumbu wenzie ndiomana wanamteteaš
Waufukweni yupo mbele ya muda
Tunamuunga mkono wengi zaidi Wasomaji
tumaini lipo kwakeāļø
Nilisikia Kabuti ni mtaalam wa sheria ya maswala ya kijamii, whatever that means!
Sina hakika kama kweli huyo mtu ni mwanasheria kweli.
Huyo na Asha Migiro ni watu waliokariri tu kufaulu mitihani yao darasani, wakati kichwani wakibaki watupiu kabisa kuhusu walichosoma.
š¤£š¤£ Sentensi yako haijaisha... Sijaona "Jizi na lipenda rushwa.....!Kipindi Lissu anakazana na masomo yeye alikuwa nacheza taarabu na kufurahia kumbato la......
Inauma sanaDeep down unajua hukumu mmeiandaa mmeifungia kabatini, unatumock tu hapa.
Kurusha hiyo kesi mubashara lilikuwa hukumu la serekali ila wakaacha baada ya kuona wanaabika. Sasa unataka uwajibikaji kwa mtu aliyejitolea?Jukwaa ili sio la Nyumbu š«š«š«
Kuna Watu wasio na Upande wanasoma wanataka Update za haki zisizo na upendeleo pande yoyote āļø
Urefu wa hoja haimanishi ukweli na ubora wa hojaTundu Lissu ametumia jumla ya dakika 349 kuwasilisha āfinal submissionā yake kwa siku ya leo pekee na bado hajamaliza hoja zake zote.
Kama mama Yake John alivyoteseka, kweli cheo na Mali haviwezi kuleta Amani ya maishaILA WEWE JAMAA NAKUHAKIKISHIA FEDHA HIZI UNAZOLIPWA KUTESA WATU IPO SIKU ZITAISHIA HOSPITALI YA OCEAN RAOD KUMTIBU MAMA YAKO . KAMA MUNGU AISHIVYO
Hata hivyo ni nadra kuwa na hoja duni kisha ikawa ndefu.Urefu wa hoja haimanishi ukweli na ubora wa hoja
Hii sio mara yake ya kwanza, Kuna mahali kama wiki 2 zimepita pia alicomment āLissu ni kamandaā Ukimqoute ha-reply šKwamba Leo ume mkubali?
Huu ndo tuna ita UNAFIQ