Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,775
Kuna baadhi ya watu wamekasirishwa kwa hili walitamani kuona akirejea ili apigwe risasi live na wakiona anakufa.
Mioyo yenu imesinyaa kwa taarifa hii.
Kama amekua hatarudi kwann amekuwa anadai kulipwa posho na mishahara Yale ya ubunge pia kwann kafungua kesi ya kunyang'anywa ubunge kauli zake Ni Kama kumpa Kiki ndugai kuwa aliona mbali kuwa watu wa Jimbo lake hawana mwakilishi
huyo ashaishiwa siasaAkihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.
Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.
Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo
Eenh, nimeipenda hiyo "hadi huyu baba amalize muda wake mwakani,' hata kama najua kwamba tutasubiri sana.amechukuwa uhamuzi wa busara sana, kuna kiongozi mstaafu pia amemshauri kwasasa asirejee had uyu baba amalize muda wake mwakani
Wewe unaweza kuiita "sababu ya ovyo," lakini inawezekana usijue maana yake ni nini katika kuyasema hayo maneno.sababu aliyotoa ni ya hovyo na haina mashiko. Viongozi wake watawezaje kumhakikishia usalama wake wakati sio vyombo vya ulinzi na usalama
Kuna mambo mengi ya kujifunza ndani ya jambo hili la Lissu na walio madarakani kuhusu waTanzania.Hakuna Jambo limefanya niwachukie watz Kama ishu ya lisu ishu ya lisu imenifanya niwachukie Sana wenye mamlaka na praise power team yao yani msemakweli na mtetea haki ya kidemokrasia mnamtwanga risasi mnampokonya ubunge halafu mnafurahia na kumkejeli ushetani ulioje?
Apambane against nini? Against SGR, STIGLERS GORGE, FLY OVERS, NDEGE, BARABARA ZA LAMI TANZANIA NZIMA, MELI TANO: NYASA, TANGANYIKA NA VICTORIA, UPANUZI WA BANDARI: DAR, TANGA NA MTWARA, MABASI YA MWENDO KASI, COMMUTER TRAIN, REA UMEME VIJIJINI, UDHIBIT WA RASILIMALI ZETU, UVUVI HOLELA, MIGOGORO YA ARDHI, NIDHAM KWA WATUMISHI WA SERIKALI, HOSPTALI, ELIMU BURE, VIWANJA VYA NDEGE, RELI YA ARUSHA, TERMINAL III AIR PORT DAR, VIWANDA, UCHUMI WA KATI, AMANI, KUTOKOMEZWA KWA RUSHWA na kadhalika na kadhalika?Naunga hoja kabisa pambana ukiwa huko huko.Hata wana frelimo ANC walipambana wakiwa tanzania
Ni kweli Tundu Lisu kichwani Bado hajaponaDr. Hassan Abasi alisema, namnukuu "sio vizuri kubishana na mgonjwa"
Maneno ya Tundu Lissu siku zote yanaonekana kuwa mepesi lakini kwa watu wenye uelewa watatambua kuwa Tundu Lissu hajawai kukosea katika comments zake. Huwa anaongea huku akifahamu fika impacts za kile anachokisema. Sasa usipokuwa makini unaweza kumwelewa kiwepesi wepesi tu wakati yeye akimaanisha matokeo makubwa mbeleni.
MUNGU AKUBARIKI TUNDU ANTIPAS LISSU
😂 😂 😂 😂Kwan mabeberu hawajamhakikishia usalama, baada ya mda watamtimua huko, na akirud analikuta Jiwe kuu la pembeni walilolikataa waashi , linamwangukia na kumsaga saga
Alivyosema anarudi mkakenua meno na kumuita shujaa na tshirt za lissu welcome back mkauziwa.Hata mimi sipendi arudi mpaka mwaka kesho watakapo mtimua huyu mbaya wake, akija wakamtwanga risasi atatuliza wengi sasa matokeo Lisu 1-0wasiojulika ubao usome hivyohivyo
Mi nakejelu na namdhihaki pumbavu huyo lissu! Vutu lakeNaona mimamluki ya Jiwe yamejazana humu..sio wengi ila wana ac nyingi sana unaweza kudhani unabishana na zaidi ya watu mia kumbe wanne tu...anyway kwa mtu mwenye ubinadamu na utu..hawezi kukejeli,kudhihaki wala kuchekelea kitendo alichofanyiwa Lissu..ni pale tu unapokuwa na roho mbaya ya kishetani itakayokutuma uchekelee hicho kitendo hata kama huna dini!..
Hakuna Jambo limefanya niwachukie watz Kama ishu ya lisu ishu ya lisu imenifanya niwachukie Sana wenye mamlaka na praise power team yao yani msemakweli na mtetea haki ya kidemokrasia mnamtwanga risasi mnampokonya ubunge halafu mnafurahia na kumkejeli ushetani ulioje?