Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Nilishawahi kusema "Tundu Lissu wa kabla ya 2015 akikutana na Tundu Lissu wa baada ya 2015 watauana.Tundu Lissu wa kale alishangaa kwanini Serikali haiwafungi akina Seth na Rugemalila hadi Mnyika akamwita JK "dhaifu".
Huyu Lissu wa sasa bila shaka akipewa jukwaa atasema bila kupepesa macho kuwa "escrow" ni hela safi.Kuna usemi unasema "hakuna mkate mgumu mbele ya chai" namuona Lissu kalainika kama mkate uliolowekwa ndani ya kikombe cha chai.
Siku zinaenda kasi sana