Tundu Lissu rudi Shule

Mkuu pamoja na mambo mengi ya kisheria lakin ungejielekeza kwenye tafsir halisi ya chama! Chama ni muunganiko wa watu waliounganika pamoja ili kufanya au kutenda mambo yao kwa pamoja
 

Kamulize Micheal wambura alipokiuka Masharti ya familia walimfanyaje? na yuko wapi siku hizi????
 
Tobo Lisu ni MTU wa kukurupuka ni wajinga tu ndiyo wanaoweza kulielewa hilo wakili kanjanja.
 
Mtoa mada ana mtindio wa ubongo. Kanisani kwetu sheria ni kuwa muumini haruhusiwi kwenda mahakamani kuishitaki kanisa na ikitokea hivyo, muumini huyo anakuwa amejifuta ushirika kanisani (sio muumini tena), Je hiyo nayo ni batili?
 
Ninashawishika kukuamini, lakini nina swali moja tu mbona vyama vya mpira wa mguu wakipelekwa mahakamani FIFA inakataa na kufungia nchI? Au wao hawaheshimu Katiba za nchi!
 

Mbona kuna sheria nyingi tu za hapahapa Tanzania zinazozui watu kwenda mahakamani. Mfano ni sheria ya uchaguzi ambayo inasema matokeo ya rais hayatapingwa mahakamani. Akitangazwa ndo mwisho.

Sheria ya Kinga na Madaraka ya Bunge: Mbunge hatoshitakiwa kwa jambo lolote aliloongea akiwa Bungeni

etc
 

Tuna choshana bure kwa upuuzi wako wakuandika ujinga kesi yeyote ikiwa makamani airusiwi kujadiliwa popote pia unasema katiba ya chadema nikandamizi ya FIFA nimbovu pia acha kutetea upuuzi na kujinasibu nimsomi labda umeaomea umbeya wa kwenye mtandao
 
yani unapo hoji uwezo we lissu hapo ndipo napo kudharau na ulivyo viandika humo in kujikanyaga kanyaga tu, sioni kitu cha mahana.

Kweli mkuu nimjinga sana alafu anajinasibu yeye ni msomi mwenzake kwenye uko wake au kijiji anacho toka nina hisi japatakuwa na kwenye CV ya lissu
 
Nimesoma aya moja nimegundua ni ujinga tu... Kiufupi ni kwamba katiba ya CHADEMA inatambulika mpaka kwa msajili wa vyama then who are you?

Kwani msajili wa vyama ndio mtoa tafsiri wa sheria inapoleta utata?
 

Hoja yako ni ipi hapa, hujaeleweka!
 
Chama cha siasa ni kikundi cha hiari ambacho kina masharti yake ya kujiunga, huyawezi unaacha.
Zito ameyakiuka, amejiondoa mwenyewe. Kung'ang'ania kunatia ,shaka nia hasa anokusudia. Akaanze upya anywhere, japo itamchukua muda kufikia hapo alikofikia.
 
wachaga na id zenu nyingi msijidanganye kua mko wengi,chadomo kimepoteza mwelekeo
 
Mtoa mada ana mtindio wa ubongo. Kanisani kwetu sheria ni kuwa muumini haruhusiwi kwenda mahakamani kuishitaki kanisa na ikitokea hivyo, muumini huyo anakuwa amejifuta ushirika kanisani (sio muumini tena), Je hiyo nayo ni batili?

khe we kweli kiaz huko mnakogegedana ndo unakutolea mfano aibu!!
 
chimwemwe67

Ukikishtaki chama na kikashinda hiyo kesi uliyoifungua moja kwa moja sio mwanachama tena.kkishtak chama haizuiliwi ila uhai wa kubaki mwanachama ni kushinda kesi uliyopeleka mahakamani

Sheria hii ndio kandamizi sababu mtu anaweza kuonewa na akaogopa kwenda mahakamani akihofia kushindwa kesi japo ana haki na kufutwa uanachama. Hamuoni kipengele hiki kinamnyima mtu haki yaki katiba?
Wanasheria tusaidieni.
 
Last edited by a moderator:
Ww na wote waliokutuma ndio mrudi shule nyambagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…