Tundu Lissu: Rais Magufuli ana shida gani na misiba mikubwa?

Mbona kumpangia Rais wangu cha kufanya. Kwenye misiba sio wote wanaofika.
Yeye ana red personality/behaviour mumchukulie, nyie wenye yellow na green behaviour nendeni msibani.
Yaani wewe unaona hilo sio tatizo ?, tufike mahala tuukubali ukweli, mtoa mada amenikumbusha mengi yalitukia nyuma dhidi ya rais wenu huyu, hakika ni mtata, au anahusika nini na haya majanga ?, iweje ashindwe kuhudhulia ?
 
Umeshaambiwa, mzee baba alikuwa anakunywa chai mjengoni na trafiki. Mengine mtajiju!!! Ila rambirambi atazipangia shughuli mbadala za kitaifa. Huyu bwana fedha wa taifa ni mahiri sana.
Ni kweli anaongelea kiasi cha fedha zilikusanywa kama rambirambi ili wakazifanyie kuboresha miundombinu kama bukoba
 
Kwa mini watu wanapenda shetani kuliko Mungu?
Kwa mini watu wanapenda maovu kuliko mema?
Kwa mini watu wanapenda uongo kuliko ukweli?
Kwa nini watu wanapenda kupakazia wenzao kuliko kuwasifia?
Nimejaribu sana kuvuta picha kwa kadribya kumbukumbu zangu tokea utawala awamu ya kwanza mpaka sasa.
Wakati was mwalimu alienda kwenye mazishi Mara mbili,alipouliwa Karune na alipouliwa Kleruu.Misiba iliyofuata yote alituma wawakilishi na hapakuwa na kelele.
Enzi za Mxee ruksa sikimbuki msiba mkubwa,lakini kila ulipitokea alituma wawakilishi.Hapakuwa na kelele.
Raid Mkapa kama sikosei,slimzika baba was taifa,mingine yote alituma wasaidizi wake na hapakuwa na kelele wala malalamiko
Akaja Kikwete,huyu ndiye raid pekee na was aina take sio tu Tanzania Bali dunia kote kwa kuzika.
Raid Kikwete alizika maskini,matajiri,watu maarufu na wasio maarufu.karama ya raid huyu,katija kuzika alienda mwenyewe.
Hapakuwa na kelele waka malalamiko.
Amekuja rais Magufuli,imekuwa nongwa kila akituma wasaidizi wake kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake,lakini wapi,wanaharakati hawaelewi.
 
Ila huwa anafika kwenye misiba ya kijamii (misiba ya kifamilia). Kupanga ni kuchagua, kutekeleza ni maamuzi! Yajayo yanafurahisha, tuko tayariiiiiii!!!!
 
Usimtetee huyo rais wenu ana shida sana kwenye maamuzi yake juu ya misiba ya mass. wewe huoni aibu kumpamba na wakati umekiri mwenyewe kwamba kwa marais wengine bahati yao nzuri hapakutokea misiba ya watu wengi, huyu rais wa sasa hii misiba ya watu wengi ina mkono wake ndio maana anahofu kwenda, nadhani kuna kitu anahofia, si bure, kwanini atume wawakilishi kwenye swala serious kama la misiba ya watu wengi wakati huo huo yeye yupo amekaa pale ikulu anafanya Tea party na askari polisi !!!
 
Mkuu sijasema namtetea,ila alikwishachukuwa hatua,na kufuatilia tukio la maafa.Kama utakumbuka waziri mkuu alikuwa katika ziara ya kikazi mkoani Dodoma,wilaya ya Kondoa na Chemba.
Rais alimwagiza waziri mkuu kukatiza ziara yake na kwenda kushughulikia ajali.(hiyo inaitwa partcipation)alishiriki moja kwa moja na tukio la maafa.
 
Mwanhabari huru hapo juu ameeleza vizuri na ametoa mifano hai, kuna event zaidi ya tatu zenye ukubwa kama huo, ingekuwa ni tukio la kwanza tungesema labda bahati mbayanakusihi nawe ukubali kwamba rais huyu ni tatizo kwenye field hiyo ya Kijamii, lakini pia yuko Nyuma sana kwa habari ya Diplomasia ya Kimataifa, nako huko sijui anakwepa nini
 
ACHENI KELE ZENU MBNA NYINYI KIONGOZI WA KITAIFA HAKUENDA TENA HAKUTUMA HATA MWAKILISHI TENA MSIBA ULIKUWA JIMBONI KWAO JIMBO LA CHADEMA ONENI AIBU SIYO MNAONGEA TU BORA MKUU KATUMA MWAKILISHI KULIKO NYINYI KIMYA HALAFU MNAANZA KULAUMU HOVYOOO
 
ACHENI KELE ZENU MBNA NYINYI KIONGOZI WA KITAIFA HAKUENDA TENA HAKUTUMA HATA MWAKILISHI TENA MSIBA ULIKUWA JIMBONI KWAO JIMBO LA CHADEMA ONENI AIBU SIYO MNAONGEA TU BORA MKUU KATUMA MWAKILISHI KULIKO NYINYI KIMYA HALAFU MNAANZA KULAUMU HOVYOOO
Hilo sio Jimbo la Chadema majimbo yote ni Nchi hii, hatufanyi mambo ya kibaguzi ya kusema hawa wa kwetu (wapiga kura wangu wasibomolewe hata kama wamejenga ndani ya eneo la barabara), watanzania wote are belong to Tanzania as a Country.
 

Mh. Tundu Lissu,

Mimi nasema, afadhali hakweda kwenye misiba hiyo.....

Kuna possibility kubwa ana "maagano maalumu" ama ukipenda sema "makubaliano/mikataba maalumu" na waliomuweka ktk nafasi hiyo.....

Possibly, moja ya sharti ktk maagano hayo, ni ......."never attend funeral that involves death of more than 6 people because the day you do so you shall surely die!!

Ndugu zangu, kumtumkia shetani ni kugumu sana. Japo anakupa fahari zote za ulimwengu huu (Mali, utawala, kiburi cha uzima nk nk....), lakini kamwe atakunyima amani na furaha ya kweli......unakuwa mtumwa wake tu......anaku - possess ..... unakuwa Mali yake.... utafanya anayotaka yeye uyafanye....

Likely, ndivyo alivyo huyu kiongozi wetu. Uthibitisho ni kufanya kwake mambo ambayo ni very extra ordinary ktk akili ya kawaida za nafasi ya uongozi alionayo yeye!!

Ndugu, msome mtoa mada vizuri. Fikra zako na zake hazitofautiani.

Ulivyoanza mchango wako na neno "msituchanganye" kidogo imeleta contradiction hususani wana jamvi kutokukuelewa una maana ya nani hasa asikuchanganye, kwamba Tundu Lissu ama mtu/watu wengine ambao hujawataja....
 
Mbona Kitaturu ameongea mistari inayojieleza yenyewe !, kuna point nyingi sana muhimu kwenye meseji yake, na uzuri ni kwamba ametoa mifano halisi, sasa huyo anaesema msituchanganye, mimi nadhani anajichanganya mwenyewe, binafsi nimemuelewa vema Kitaturu na ninasimame upande wetu kumshangaa huyu rais kwa vituko vyake vya mtu mzima, name nashuhudia kumsikia rais akiongea maneno mengi ya ajabu ajabu sana ambayo hayalingani na kile kinachoitwa nafasi ya rais, wote mtakumbuka alivyotoa maelekezo ya kushughulikiwa taasisi ya twaweza mara tu waliposema kupendwa kwa rais kumepungua kutoka 90% mpaka 56%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…