Tundu Lissu njoo uwaombe msamaha watanzania uongo wako umedhihirika leo

Muda wote Mimi nikajua najibizana na mtu mwenye akili timamu kumbe taila.

Katika bandiko langu umeona Kuna sehemu nimeandika Neno "Facebook"?

Je Facebook unaweza ukasearch Newz tofauti na jina la mtu kumuomba urafiki?

Acha ujinga mama k ingia Google na YouTube (Umusikilize akiongea kwa Domo lake mwenyewe) uone unafiki wa ndugu yako.
Sina muda chafu. GO TO HELL
 
Nimesoma Zitto vizuri mno - kumbe hata huu tuliosaini juzi ni famba!!

Mzungu ni mzungu tu, lazima ajue anakukamatia wapi.
 
Ulikuwa unawatetea sana ACACIA ukakubali kulipwa ili uisaliti nchi yako ulikosea sana kaka LISU jinsi nilivyokujua nilitegemea meseji za faraja kwa mkuu wa nchi katika kipindi kigumu cha mapambano na Wazungu lakini kaka LISU ukaonyesha wazi chuki yako dhidi ya Serikali kwa Vipande thelathini ulikuwa unashirikiana kwa karibu sana na Mwanyika kuikashifu Serikali nilisikitika sana

Tundu Lissu wazungu wakiamua kumtumia mtu kutimiza masilahi yao huwa wanaangalia mtu tajiri angalia vibaraka halisi wa Wazungu wanaotegemewa na Taasisi zao za kijasusi ni Mabilionea kama akina Mo Dewji, Rostam Aziz hao ndio mawakalla wa Taasisi za kijasusi Dunia

Kaka Lissu ujasiri wako wa miaka ya 2006 umemezwa na tamaa ya Pesa

Kaka Lissu mbona ulikubali kupokea Pesa katika harakati za kushinikiza kuvunjika muungano mpaka ukadiriki kumtukana baba wa Taifa.mwalimu Nyerere alikukosea nini baba yetu amepumzika?

Kwa nini ulipokea hongo kumsafisha Lowassa?

Njoo nyumbani hakuna hata aliye na muda na wewe
Rubbish
 
Uongo unaofanywa na CCM miaka 60 umewahi kuombewa msamaha? Vipi ahadi ya mil.50 kila kijiji zimetolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakumbuka ahadi ya Noah + balimi tatutatu ndio ninayoisubiri kabla vya uchaguzi, uzuri nimejiandikisha. haya mengine hayanihusu sana. Noah nasi wananchi tupige vishoka. Mhe.Rais wetu mpendwa kupitia Wazuri wa Mambo ya nje ataleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom