Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni Nyerere anayeishi!

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
376
735
Kwanza nianze kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kumuepusha ndugu Tundu Lisu na Kifo kilichokuwa kimepangwa na wabaya wake. Naamini kabisa Lisu hana ubavu wowote wa kupambana na risasi 16 zilizompata. Naamini Mungu alituma malaika zake wakaja kumfunika kiasi kwamba zile risasi hazikuwa na madhara makubwa.

Nirudi kwenye mada. Kwanini nasema Lisu ni Nyerere anaeishi. Kwanza tukumbuke kidogo hapo nyuma kulikuwepo na kizazi flani hivi ambacho kwa sasa ni nadra sana kukipata. Kizazi cha watu flani wapenda haki, wasiopenda kuonea au kuona wengine wakionewa, kizazi cha watu waliokuwa radhi kuupoteza uhai wao ili tu kupigania haki za wengine.

Watu hawa walikwepo kipindi cha nyuma, walikwepo wengi ila mimi nawajua wachache, ila kama na wewe unawajua wengine basi utaongezea. Kizazi cha kina J.K.Nyerere, Nelson Mandela, Kwame Nkuruma, Jomo Kenyatta , Abed Aman Karume na wengine wengi kwa sasa kimepotea kabisa na ni nadra sana kupata watu wenye hulka kama hizi.

Mimi toka nimezaliwa sijasikia habari kuhusu Mwalimu Nyerere kumdhulumu mtu, au alinyakua Mali ya mtu au ya serikali kwa dhuluma, au kumnyima mtu haki yake. Mwalimu alikuwa mpenda haki, asiyependa kunyanyaswa wala kunyanyasa wengine. Haki kwake ndo lilikuwa jambo la msingi sana, Uhuru wa watu ndicho alichopigania maisha yake yote.

Nikirudi kwa Tundu Lisu naona ana vinasaba vinavyoshabihiana kabisa na vya Mwalimu. Tangu nianze kumskia huyu bwana sijawahi sikia ana kashfa yoyote ya kumdhulumu mtu, rushwa au ufisadi, au kumdhulumu mtu haki yake. Zaidi naona yeye ndo mpambanaji anayetafuta haki za watu wengine.

Hata ulemavu alionao sasa ni kwa sababu ya kutafuta haki za watu, alikuwa akiwatetea watu mahakamani bure bila malipo. Tena anajigharamia na kutoa pesa zake ili zisaidie watu wapate haki zao. Yaani neno haki na Uhuru ndio misingi mikuu ya huyu bwana. Sawasawa na Mwalimu Huyu bwana amejengwa na kujijenga kwenye misingi ya haki, Uhuru na Utu. Yaani kwake watu wote ni sawa, haijalishi ni maskini ama tajiri.

Kingine alichonacho ambacho kinafanana kabisa na Mwalimu ni uwezo wake wa kujenga hoja zenye mantiki. Mwalimu alikuwa na uwezo wa kujenga hoja kiasi kwamba hata nchi za magharibi zilikuwa zina muheshimu. Tundu Lisu nae anauwezo huohuo wa Mwalimu.

Tundu Lisu pia anafanana na Mwalimu katika uwezo wake wa kupambanua mambo, upeo wa kuliona jambo hata kabla halijatokea, uwezo wa kuja na suluhisho la mambo mbalimbali kwa haraka na bila kufikiri sana.

Mwalimu pia alikuwa jasiri, si mwoga, anauwezo wa kuhoji mtu yeyeyote bila kujali cheo chake, sifa zote hizo anazo Tundu Lisu.Lisu anahoji chochote, popote na yoyote pale tu anapoona mambo hayaendi kama yalivyopangwa ama kama sheria zinavyosema.

Uwezo pia wa kushawishi watu ni sifa kuu ya Mwalimu ambayo Tundu Lisu utadhani ameikopi vile. Mwalimu akihutubia au akiongea na watu hutataka amalize, vivyohivyo kwa Bwana Lisu, hutatamani amalize. Uwezo pia wakujua na kuhifadhi mambo mengi kichwani, historia nyingi kichwani,yaani unaweza kudhani hawa mabwana wanasoma mahali kumbe vipo kichwani, kwa hili namwona Mwalimu kupitia Lisu.

Pia uwezo binafsi wa kupangilia mada hata kama utamwamsha usingizini, Nadra sana kumkuta mwalimu anasoma hotuba iliyokwisha andaliwa, au ana kikaratasi anasoma baadhi ya mambo. Vivyo hivyo kwa Tundu Lisu, yaani ukimwalika aje aongelee jambo flani, akija utadhani kama vile hayupo tayari au hajajiandaa maana hana kitu mkononi, kumbe vyote vipo kichwani.

Naomba nimalizie maana ni mengi sana hawa watu wawili wanafanana kabisa ila siwezi kuyaandika hapa yote. Labda kwa ufupi nihitimishe tu kuwa Hawa watu wawili IQ zao zinalingana, kama hazilingani basi zinakaribiana sana ndio maana wanafanana kwenye mambo mengi.

By Mimi Pseudopodia
 
vichwa vya wana chadema nashindwa kabisa kuviekewa LISSU MBONA HANA HOJA YOYOTE YA MSINGI JUU YA TAIFA HILI kwa ukweli nampa pongezi MAGUFULI KWA KUZICHUKUWA HOJA ZOTE ZILIZOKUWA ZA CDM NA KUZIFANYIA KAZI PIA HOJA YENU YA BIMA YA AFYA KWA WOTE CCM IMESHAICHUKUA NA IPO JIKONI ASANTENI CDM TUNAOKOTA OKOTA HUMO
 
Nasikitika sana kwamba namjibu mtu mwenye akili ndogo. Kwanza Mimi si chadema, Pili unasema Chadema hawana hoja yoyote ya msingi hapo hapo unasema Magufuli amezifanyia kazi hoja zote za Chadema hadi ile ya bima ya afya ameshaichukua.Hebu rudia kusoma ulichoandika alafu utaona kwamba unajipinga mwenyewe. Alfu rudisha kumbukumbu nyuma kidogo kipindi unasoma somo la hisabati ulikuwa unapata alama ngapi kwenye mtihani, baada ya hapo utakoma kabisa kuchangia mada za watu mliotofautiana nao kiwango cha akili
vichwa vya wana chadema nashindwa kabisa kuviekewa LISSU MBONA HANA HOJA YOYOTE YA MSINGI JUU YA TAIFA HILI kwa ukweli nampa pongezi MAGUFULI KWA KUZICHUKUWA HOJA ZOTE ZILIZOKUWA ZA CDM NA KUZIFANYIA KAZI PIA HOJA YENU YA BIMA YA AFYA KWA WOTE CCM IMESHAICHUKUA NA IPO JIKONI ASANTENI CDM TUNAOKOTA OKOTA HUMO
 
Lisu hata asipokuwa rais mwaka huu ila huyu bwana anafaa sana, Yaani watu wengi sana wanaipongeza Tanzania kwa kuwa na watu sampuli ya Tundu Lisu
Ukweli mchungu

Kupona zile risasi ilikuwa ni somo tosha mwa watawala kwamba wanayoyapanga sio lazima yawe kweli kama wanavyotaka.

Lissu anaenda kuwa Rais wa chi hii kuanzia October.
 
Umanena vyema sana mkuu..... Lkn misukule ya lumumba itabisha tu
 
vichwa vya wana chadema nashindwa kabisa kuviekewa LISSU MBONA HANA HOJA YOYOTE YA MSINGI JUU YA TAIFA HILI kwa ukweli nampa pongezi MAGUFULI KWA KUZICHUKUWA HOJA ZOTE ZILIZOKUWA ZA CDM NA KUZIFANYIA KAZI PIA HOJA YENU YA BIMA YA AFYA KWA WOTE CCM IMESHAICHUKUA NA IPO JIKONI ASANTENI CDM TUNAOKOTA OKOTA HUMO
Akili ndogo haiwezi muelewa Lissu
 
Kwanza nianze kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kumuepusha ndugu Tundu Lisu na Kifo kilichokuwa kimepangwa na wabaya wake. Naamini kabisa Lisu hana ubavu wowote wa kupambana na risasi 16 zilizompata. Naamini Mungu alituma malaika zake wakaja kumfunika kiasi kwamba zile risasi hazikuwa na madhara makubwa.

Nirudi kwenye mada. Kwanini nasema Lisu ni Nyerere anaeishi. Kwanza tukumbuke kidogo hapo nyuma kulikuwepo na kizazi flani hivi ambacho kwa sasa ni nadra sana kukipata. Kizazi cha watu flani wapenda haki, wasiopenda kuonea au kuona wengine wakionewa, kizazi cha watu waliokuwa radhi kuupoteza uhai wao ili tu kupigania haki za wengine.

Watu hawa walikwepo kipindi cha nyuma, walikwepo wengi ila mimi nawajua wachache, ila kama na wewe unawajua wengine basi utaongezea. Kizazi cha kina J.K.Nyerere, Nelson Mandela, Kwame Nkuruma, Jomo Kenyatta , Abed Aman Karume na wengine wengi kwa sasa kimepotea kabisa na ni nadra sana kupata watu wenye hulka kama hizi.

Mimi toka nimezaliwa sijasikia habari kuhusu Mwalimu Nyerere kumdhulumu mtu, au alinyakua Mali ya mtu au ya serikali kwa dhuluma, au kumnyima mtu haki yake. Mwalimu alikuwa mpenda haki, asiyependa kunyanyaswa wala kunyanyasa wengine. Haki kwake ndo lilikuwa jambo la msingi sana, Uhuru wa watu ndicho alichopigania maisha yake yote.

Nikirudi kwa Tundu Lisu naona ana vinasaba vinavyoshabihiana kabisa na vya Mwalimu. Tangu nianze kumskia huyu bwana sijawahi sikia ana kashfa yoyote ya kumdhulumu mtu, rushwa au ufisadi, au kumdhulumu mtu haki yake. Zaidi naona yeye ndo mpambanaji anayetafuta haki za watu wengine.

Hata ulemavu alionao sasa ni kwa sababu ya kutafuta haki za watu, alikuwa akiwatetea watu mahakamani bure bila malipo. Tena anajigharamia na kutoa pesa zake ili zisaidie watu wapate haki zao. Yaani neno haki na Uhuru ndio misingi mikuu ya huyu bwana. Sawasawa na Mwalimu Huyu bwana amejengwa na kujijenga kwenye misingi ya haki, Uhuru na Utu. Yaani kwake watu wote ni sawa, haijalishi ni maskini ama tajiri.

Kingine alichonacho ambacho kinafanana kabisa na Mwalimu ni uwezo wake wa kujenga hoja zenye mantiki. Mwalimu alikuwa na uwezo wa kujenga hoja kiasi kwamba hata nchi za magharibi zilikuwa zina muheshimu. Tundu Lisu nae anauwezo huohuo wa Mwalimu.

Tundu Lisu pia anafanana na Mwalimu katika uwezo wake wa kupambanua mambo, upeo wa kuliona jambo hata kabla halijatokea, uwezo wa kuja na suluhisho la mambo mbalimbali kwa haraka na bila kufikiri sana.

Mwalimu pia alikuwa jasiri, si mwoga, anauwezo wa kuhoji mtu yeyeyote bila kujali cheo chake, sifa zote hizo anazo Tundu Lisu.Lisu anahoji chochote, popote na yoyote pale tu anapoona mambo hayaendi kama yalivyopangwa ama kama sheria zinavyosema.

Uwezo pia wa kushawishi watu ni sifa kuu ya Mwalimu ambayo Tundu Lisu utadhani ameikopi vile. Mwalimu akihutubia au akiongea na watu hutataka amalize, vivyohivyo kwa Bwana Lisu, hutatamani amalize. Uwezo pia wakujua na kuhifadhi mambo mengi kichwani, historia nyingi kichwani,yaani unaweza kudhani hawa mabwana wanasoma mahali kumbe vipo kichwani, kwa hili namwona Mwalimu kupitia Lisu.

Pia uwezo binafsi wa kupangilia mada hata kama utamwamsha usingizini, Nadra sana kumkuta mwalimu anasoma hotuba iliyokwisha andaliwa, au ana kikaratasi anasoma baadhi ya mambo. Vivyo hivyo kwa Tundu Lisu, yaani ukimwalika aje aongelee jambo flani, akija utadhani kama vile hayupo tayari au hajajiandaa maana hana kitu mkononi, kumbe vyote vipo kichwani.

Naomba nimalizie maana ni mengi sana hawa watu wawili wanafanana kabisa ila siwezi kuyaandika hapa yote. Labda kwa ufupi nihitimishe tu kuwa Hawa watu wawili IQ zao zinalingana, kama hazilingani basi zinakaribiana sana ndio maana wanafanana kwenye mambo mengi.

By Mimi Pseudopodia
NA NYERERE NAYE ALIKUWA ANAWATUKANA WAFANYAKAZI WA UMA NA KUWAITA NI TAKATAKA ZA JALALANI??
 
Ukitaka uenende vizuri katika hoja mbalimbali uwe unafanya utafiti kidogo hata usio rasmi. Rejea hotuba za Lissu bungeni kuhusu muungano. Pili rejea maneno ya Mtei alipomkemea Lissu alisema kuwa: hata yeye Mtei alipojiuzuru uwaziri wa fedha kwa kutofautiana na Nyerere aliendelea kuwasiliana vizuri tu na Nyerere na hakumkashifu.

Kupenda kusikufanye ukawa kipofu ndugu siasa ni maisha yako yote.
Naomba nikuulize unajua maana ya neno Tusi ama Kutukana.....Unajua kuwa unaweza kupishana na mtu hoja na mkajadiliana au ukaijadili pasipo kuweka neno tusi. Hivi Nungeeni panaruhusiwa Matusi. Sory nenda kwenye kamusi kwanza kaangalie maana ya neno tusi au kutukana alafu ndo uje Tena uchangie
 
Kwanza nianze kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kumuepusha ndugu Tundu Lisu na Kifo kilichokuwa kimepangwa na wabaya wake. Naamini kabisa Lisu hana ubavu wowote wa kupambana na risasi 16 zilizompata. Naamini Mungu alituma malaika zake wakaja kumfunika kiasi kwamba zile risasi hazikuwa na madhara makubwa.

Nirudi kwenye mada. Kwanini nasema Lisu ni Nyerere anaeishi. Kwanza tukumbuke kidogo hapo nyuma kulikuwepo na kizazi flani hivi ambacho kwa sasa ni nadra sana kukipata. Kizazi cha watu flani wapenda haki, wasiopenda kuonea au kuona wengine wakionewa, kizazi cha watu waliokuwa radhi kuupoteza uhai wao ili tu kupigania haki za wengine.

Watu hawa walikwepo kipindi cha nyuma, walikwepo wengi ila mimi nawajua wachache, ila kama na wewe unawajua wengine basi utaongezea. Kizazi cha kina J.K.Nyerere, Nelson Mandela, Kwame Nkuruma, Jomo Kenyatta , Abed Aman Karume na wengine wengi kwa sasa kimepotea kabisa na ni nadra sana kupata watu wenye hulka kama hizi.

Mimi toka nimezaliwa sijasikia habari kuhusu Mwalimu Nyerere kumdhulumu mtu, au alinyakua Mali ya mtu au ya serikali kwa dhuluma, au kumnyima mtu haki yake. Mwalimu alikuwa mpenda haki, asiyependa kunyanyaswa wala kunyanyasa wengine. Haki kwake ndo lilikuwa jambo la msingi sana, Uhuru wa watu ndicho alichopigania maisha yake yote.

Nikirudi kwa Tundu Lisu naona ana vinasaba vinavyoshabihiana kabisa na vya Mwalimu. Tangu nianze kumskia huyu bwana sijawahi sikia ana kashfa yoyote ya kumdhulumu mtu, rushwa au ufisadi, au kumdhulumu mtu haki yake. Zaidi naona yeye ndo mpambanaji anayetafuta haki za watu wengine.

Hata ulemavu alionao sasa ni kwa sababu ya kutafuta haki za watu, alikuwa akiwatetea watu mahakamani bure bila malipo. Tena anajigharamia na kutoa pesa zake ili zisaidie watu wapate haki zao. Yaani neno haki na Uhuru ndio misingi mikuu ya huyu bwana. Sawasawa na Mwalimu Huyu bwana amejengwa na kujijenga kwenye misingi ya haki, Uhuru na Utu. Yaani kwake watu wote ni sawa, haijalishi ni maskini ama tajiri.

Kingine alichonacho ambacho kinafanana kabisa na Mwalimu ni uwezo wake wa kujenga hoja zenye mantiki. Mwalimu alikuwa na uwezo wa kujenga hoja kiasi kwamba hata nchi za magharibi zilikuwa zina muheshimu. Tundu Lisu nae anauwezo huohuo wa Mwalimu.

Tundu Lisu pia anafanana na Mwalimu katika uwezo wake wa kupambanua mambo, upeo wa kuliona jambo hata kabla halijatokea, uwezo wa kuja na suluhisho la mambo mbalimbali kwa haraka na bila kufikiri sana.

Mwalimu pia alikuwa jasiri, si mwoga, anauwezo wa kuhoji mtu yeyeyote bila kujali cheo chake, sifa zote hizo anazo Tundu Lisu.Lisu anahoji chochote, popote na yoyote pale tu anapoona mambo hayaendi kama yalivyopangwa ama kama sheria zinavyosema.

Uwezo pia wa kushawishi watu ni sifa kuu ya Mwalimu ambayo Tundu Lisu utadhani ameikopi vile. Mwalimu akihutubia au akiongea na watu hutataka amalize, vivyohivyo kwa Bwana Lisu, hutatamani amalize. Uwezo pia wakujua na kuhifadhi mambo mengi kichwani, historia nyingi kichwani,yaani unaweza kudhani hawa mabwana wanasoma mahali kumbe vipo kichwani, kwa hili namwona Mwalimu kupitia Lisu.

Pia uwezo binafsi wa kupangilia mada hata kama utamwamsha usingizini, Nadra sana kumkuta mwalimu anasoma hotuba iliyokwisha andaliwa, au ana kikaratasi anasoma baadhi ya mambo. Vivyo hivyo kwa Tundu Lisu, yaani ukimwalika aje aongelee jambo flani, akija utadhani kama vile hayupo tayari au hajajiandaa maana hana kitu mkononi, kumbe vyote vipo kichwani.

Naomba nimalizie maana ni mengi sana hawa watu wawili wanafanana kabisa ila siwezi kuyaandika hapa yote. Labda kwa ufupi nihitimishe tu kuwa Hawa watu wawili IQ zao zinalingana, kama hazilingani basi zinakaribiana sana ndio maana wanafanana kwenye mambo mengi.

By Mimi Pseudopodia
Nakuunga mkono. Ni msema kweli na hayumbi wala hayumbishwi kwa yale mema anayoamini. Hasa kwenye haki, uhuru, na utu.
 
Back
Top Bottom