Tundu Lissu ni mshindi

Poumber
 
Ombea adui yao aishi miaka mingi, ili utakapo barikia ajionee kwa macho.amna hata kabisa afe kabla hajaona baraka zake mungu ameweka mbele yako.

Lissu sio mshindi ilibidi anaesemekana kuwa adui yake aishi miaka mingi aone mafanikio ya lissu.
Je lissu akifanikiwa kweli nani ataona sasa?
 
Mwenye Haki hutamalaki na kuishi Milele. Mungu amedhihrisha hili ktk nyakati zetu. Tumezoea miujiza ya kusimuliwa ya Musa na Ibrahimu.
 
Inafurahisha sana adui anapopita pale alipokupitisha.
 
Kuna mtu jana tu kashindwa. Amelala juu ya udongo.
 
Herode amekufa Lissu anaweza kurudi nyumbani
 
Kifo ni dhambi. Mauti ni matokeo ya dhambi. Mungu huondoa haraka watu waovu hapa duniani.

Lissu rudi nyumbani waovu wanapukutika kwa mkono wa Mungu kupitia covid 19
Hasa wale wanne kwenye ile picha. 😅😅😅
 
Ukisimamia ukweli Mungu hukuongoza unaweza hata ukapigwa RPG na usiwe.
Tundu Lissu wananchi walimwelea na kumkubali shetani akafurahia ushindi haramu wa damu akadhani ni ushindi. Mpaka sasa Lissu 3- jpm 0
 
Nabii Musa alikimbia Kutoka Misri kwenda nchi ya Midian, kisa na mkasa alikimbia mkono wa Farao baada ya kumuua mmisri akiwa anamtetea muisrael mwenzake. Baadaye alirudi kuwakomboa waisrael.
Watu tumelala kwa shida kweli hapa Chato wewe mwenzetu umelala mpaka unaota?
 
Lissu hayupo sawa na kinachosikitisha huko kutokuwa sawa ndio kunampa umaarufu na tokea hili shambulio la risasi ndio limezidisha unaona kabisa Lissu hayupo sawa anahitaji msaada zaidi ya huo wa matibabu ya kimwili anayopata sasa, ila bahati mbaya wengi hawaoni hili wao wanamsifia tu kumbe mwenzao ana tatizo.
 
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu. Neno la Mungu li-hai daima.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…