Tundu Lissu ni Mhaini namba moja - Mbunge toka Zanzibar!

ukiona mtu anapinga kila kitu hata kama chenya maslahi kwa taifa huyo mtu atakuwa na matatizo makubwa tena inabidi aangaliwe kwa jicho pana sana hana nia njema na taifa hili.

Jicho pana unalijua wewe au unaongea tu?
 
Hayo yamesemwa na mbunge Mh Mwanahamisi, kutoka Z'bar, amesema kwamba, ameendelea kuleta uchochezi visiwani na kwamba endapo damu itamwagika huko Z'bar, basi mtu wa kwanza kushikwa atakuwa Tundu Lisu. My take: Niliwahi kusema kwamba huyu ni kichaa lakini nadhani ni zaidi ya chizi au anafanya makusudi tu.

kwanza hata kiswahili hujui, muhaini ndio nini ?
 
Ushindi c.c.m, Nikweli kabisa mkuu, lile jitu ni jinga sana! Linadhani ni sifa kutwa kucha kuchokonoa mambo ya kale ambayo hana hata ushahidi nayo ilimradi kuibua hasira kwa wananchi tu.

Hana ushahidi?we mwehu!?mpelekeni mahakamani basi,mtu ana reference kabisa unasema hana ushahidi!i see!we kichwani mweupeeeeeeeee!halafu eti anaibua hasira kwa wananchi!thubutu!yanayokasirika ni ma ccm maana anayaambia ukweli na hana uwezo wa kumjibu.
 
Last edited by a moderator:
Weka kesi za uhaini zinazomkabili pamoja na ushahidi ili tuamini maneno yako
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hayo yamesemwa na mbunge Mh Mwanahamisi, kutoka Z'bar, amesema kwamba, ameendelea kuleta uchochezi visiwani na kwamba endapo damu itamwagika huko Z'bar, basi mtu wa kwanza kushikwa atakuwa Tundu Lisu. My take: Niliwahi kusema kwamba huyu ni kichaa lakini nadhani ni zaidi ya chizi au anafanya makusudi tu.

huyo mama nimemdharau sana ! Hana analolijua , HIVI WATU WA AINA HIYO HUWA WANALETWA NA NANI BUNGENI ?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
tundu ya kisu hatutakii mema wa zanzibar na endapo kutatokea mauwaji tutaomba mamlaka husika imzuie tundu ya lisu asitoke nnchini maana tunamuhitaji wa zanzibar aje atuthibitishie hilo kaburi la pamoja la tutagawana viungo vyake vya mwili afanye uchochezi huko huko kwenu bara huku atuachie wenyewe

tangu lini kondoa ikawa zanzibar ?
 
Mwanaharakati au Mjinga.!

Ujinga wake ni upi? Kuhoji ukweli ama? Tundu Lissu moja huyo huyo anadatisha kila uchao, halafu unamwita mjinga? Kweli akili zenu zimechakaa kuliko. Ngoja tu na huu ni mwanzo kabisa, kufikia mwakani lazima mtafutane kwa tochi.
 
Hayo yamesemwa na mbunge Mh Mwanahamisi, kutoka Z'bar, amesema kwamba, ameendelea kuleta uchochezi visiwani na kwamba endapo damu itamwagika huko Z'bar, basi mtu wa kwanza kushikwa atakuwa Tundu Lisu. My take: Niliwahi kusema kwamba huyu ni kichaa lakini nadhani ni zaidi ya chizi au anafanya makusudi tu.

Ccm huwa mnachekesha sana hasa kwa hoja zenu.wenyewe huwa mnajiona mmepost bonge la point kumbe looooooo! Sufuri tupu. Kazi ,manayo kweli.
 
Hayo yamesemwa na mbunge Mh Mwanahamisi, kutoka Z'bar, amesema kwamba, ameendelea kuleta uchochezi visiwani na kwamba endapo damu itamwagika huko Z'bar, basi mtu wa kwanza kushikwa atakuwa Tundu Lisu. My take: Niliwahi kusema kwamba huyu ni kichaa lakini nadhani ni zaidi ya chizi au anafanya makusudi tu.
Sasa kama ni kichaa anawezaje kuwa mhaini? Nadhani wewe na huyo Mwanahamisi ndio wenye hitilafu vichwani mwenu!
 
Hayo yamesemwa na mbunge Mh Mwanahamisi, kutoka Z'bar, amesema kwamba, ameendelea kuleta uchochezi visiwani na kwamba endapo damu itamwagika huko Z'bar, basi mtu wa kwanza kushikwa atakuwa Tundu Lisu. My take: Niliwahi kusema kwamba huyu ni kichaa lakini nadhani ni zaidi ya chizi au anafanya makusudi tu.
Ni kweli kabisa.. Mwanahamisi ni kichaa!... Ni chizi wa kupeleka Mirembe!
 
jamani kuna habari zimezagaa kwenye mtandao kwamba Naibu waziri wetu ni tapeli na ni "kihiyo", kwamba elimu aliyoandika kwenye CV si ya kweli, sasa hili mie linanitatiza.

Tuhuma ni hizi:
http://www.midweeksun.co.bw/1882175951645.html

CV yake ni hii:
http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2005-2010&fpkey=3 76&vusername=GUEST%22)

Je ni habari za kweli kwa mliopo huko TZ au mnao mfahamu?

Tatizo la kuzoea taarabu na mipashio hïi sio sehemu yake we bibi!
 
Da!;mkuu mambo ya huyu jamaa tukiyaweka hapa kama yalivyo tunaweza kula ban kwanza pale dodoma ipo hospital moja iko mbele kidogo ya kanisa katoliki ukivuka kituo kikuu cha polisi dodoma pale wapo jamaa zangu madktari wapo pale wanasiri kubwa sana ya Lisu japo walinidokeza tena kwa uandani sana yapo makubwa sana nyuma ya pazia,ndiyo maana kama upo makini upo wakati Lisu anakuwa kama kamwagiwa maji wakati mwingine anakuwa kama anaungua moto any way ngoja nisiseme sana mkuu yapo mengi mapana sana ukiyajua hutakaa umjadili Lisu kwani ni kupoteza mda tu pale siyo yeye wapo wengi ndani yake.

Hii inafaa kuwasimulia wale wadogo zako jioni kabla hawajaenda kulala. Hivi Mmekosa kbs kiasi hicho hoja ya kumjibu
Lisu! Unbelievable
 
Lissu Tundu la Vuvusela, eti Serikali tatu? Angesema Moja ningemwona ana uchungu Kweli na nchi hii. Anaigawa tena badala ya kuunga zaidi? Angekuwa kweli smart engeangalia yanayotokea Ukraine
 
mpelekeni mahakamani, badala ya kumkemea waziri wako aliyetamka upuuzi kanisani, yule mkuu wa wilaya ya Kiteto anayepandikiza chuki huko wilayani kwake, yule mbunge wa Arumeru Magharibi nk unaongea. Au ukimchafua Tundu Lissu ndo inalipwa posho yako ya kutwa hapo Lumumba?

Ulimbukeni unao wewe na Lisu wenye mpango wa kuhakikisha watu wanachinjana.
 
Back
Top Bottom