Tundu Lissu ni adui wa CCM na sio Taifa zima

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,113
2,000
Ukitazama kwa makini,wapinzani wakubwa wanaomkejeli Tundu Lissu ni viongozi wa CCM na sio Watanzania wote. Hawa ndio wapiga propaganda wakubwa kuliamijisha taifa kua Tundu Lissu ni adaui wa taifa wakati sio kweli.

Kundi hili limesheheni viongozi mbali mbali ndani ya chama na serikalini hasa wali ambao wako kwenye nafasi zao kwa kupitia ukada wao. Ndani ya hili kundi wapo viongozi waandamizi wa CCM taifa, vijana wa UVCCM, MaDED,MaDC,MaRC baadhi, MaDS na wakurugenzi katika taasisi mbali mbali za umma. Haya makundi yanajua fika kua CCM ikiangushwa leo watalala njaa na wengine wataishia jela.

Nataka niseme kua hakuna TISS, Polisi au mwanausalama yeyote anaweza kujiingiza kwenye ushabiki wa political matters. Ukikutana na mwanausalama wa namna hiyo ujue anatumiwa na baadhi ya Wanasiasa kwa interests zao. Kwa tuliopitia kwenye maeneo haya enzi hizo enzi za mwalimu kwa lazima tunajua jinsi ilivyo ngumu kwa mwanausalama kua engaged kwa haya mambo.
Hawa watu Kazi yao ni kulichunga taifa kua salama, ninyi wanapolitiki lumbaneni mtakavyo lakini kazi ya hao ni kulilinda taifa. Kama kuna mwanausalama wa namna hiyo pia anajua kua likiharibika jambo anaweza kugeukia penye haki.

Tundu Lisu ni adui wa CCM sio taifa.

M*#MAHANJU, PARIS-FRANCE.
 

redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,123
2,000
Hivi ukienda kwa wafadhili na wahisani wa Tanzania na kuwataka wazuie fedha zao za misaada kwa Tanzania unakua ume mkomoa JPM ,CCM au Tanzania? Kama anaugomvi na watu au CCM asi wahusishe Watanzania. Ukiomba Nchi isipewe Fedha za Ufadhili ina maanisha unawombea wananchi wasinufaike na misaada iyo. Ndiomaana anaonekana Msaliti na Adui wa Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,207
2,000
Ivi ukienda kwa wafadhili na wahisani wa Tanzania na kuwataka wazuie fedha zao za misaada kwa Tanzania unakua ume mkomoa JPM ,CCM au Tanzania? Kama anaugomvi na watu au CCM asi wahusishe Watanzania. Ukiomba Nchi isipewe Fedha za Ufadhili ina maanisha unawombea wananchi wasinufaike na misaada iyo. Ndiomaana anaonekana Msaliti na Adui wa Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaitaji misaada tena?

Ninyi si dona kantre???
 

dumuzi

JF-Expert Member
Mar 16, 2007
966
1,000
Ivi ukienda kwa wafadhili na wahisani wa Tanzania na kuwataka wazuie fedha zao za misaada kwa Tanzania unakua ume mkomoa JPM ,CCM au Tanzania? Kama anaugomvi na watu au CCM asi wahusishe Watanzania. Ukiomba Nchi isipewe Fedha za Ufadhili ina maanisha unawombea wananchi wasinufaike na misaada iyo. Ndiomaana anaonekana Msaliti na Adui wa Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mkuu bado tunaishi kwa hisani ya misaada ya mataifa ya nnje? Sasa fahari yetu ni nini na tunajivunia nini kama taifa. Miaka zaidi ya 40 ccm ikiongoza serekali imeshindwa kutuweka kwenye uwezo wa kujitegemea, kwa nini mnaendelea ku ng'ang'ania muongeze kwa udi na uvumba, hata kwa kupiga risasi wapinani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom