Tundu Lissu ndiye Mwandishi wa Barua za Kampuni ya Uwakili ya Amsterdam kwa Serikali Tanzania

rose mzalendo

Member
Mar 5, 2019
71
114
Wakati Taifa la Tanzania likielekea katika kampeni za uchaguzi Mkuu ili kumpata Rais, Wabunge na Madiwani - siri imefichuka kuwa Tundu Lissu ambaye ni mmojawapo wa wagombea uraisi kupitia CHADEMA ndio amekuwa akiandika barua za kueleza mambo mbalimbali dhidi ya serikali ya Tanzania na kumpa Robert Amsterdam ili asaini na kutuma katika mitandao baada ya kuzisaini.

Vyanzo mbalimbali vya kijasusi vimekamata barua kwa njia za siri ambazo zinatokahizo kwa Lissu kwenda kwa Robert Amsterdam. Ni aibu kwa mambo yaliyobainika huko!!

Katika yote haya, Watanzania tukumbuke kwamba Tundu Lissu ni mbia katika kampuni ya Amsterdam na kampuni hii imempa pesa nyingi Tundu Lissu kwa matarajio kuwa atakuwa rais na kuwalipa fedha nyingi ikiwemo kuwaleta wachimbe madini hapa nchini.

Taarifa za kijajusi zimekamata barua tatu kutoka kwa Lissu kwenda kwa Robert Amsterdam ambazo Amsterdam ameishazisaini na kuzisambaza kwa barua pepe nchini Tanzania na wana mipango mingine mikubwa ya kuchukua rasilimali za nchi kama ujira wa mambo wanayofanya sasa.

Lakini pia taarifa za kijasusi zimekamata barua kutoka kwa Robert Amsterdam akimshauri Lissu kusababisha vurugu, kuchoma moto ofisi za CHADEMA na kusema wagombea wa CHADEMA wamepotea ili achukuliwe hatua na serikali baadae kampuni ya Amsterdam iweze kufungua mashauri nje ya nchi na kuomba nchi wahisani waone Lissu anaonewa ili Tanzania iwekewe vikwazo. Matarajio yao ni kutengeneza serikali ya muungano wa vyama.

Katika taarifa hizo za kijajusi pia imegundulika kuwa kampuni hii ya uwakili ilimpa Lissu msaada wa camera mbalimbali ili zitumiwe kurekodi matukio ya fujo ambayo Lissu atayafanya ili wapate ushahidi kuwa Lissu alishambuliwa. Katika mikutano yake mtaona baadhi ya watu wamevaa kamera na yeye amewekewa vifaa maalum mwilini mwake ambavyo vinawezesha nchi za magharibi kuona na kusikia yanayofanyika Tanzania na hata akiwa anampapasa wanawake zake. Hii ndio sababu inayomfanya Lissu kukataa ulinzi wa serikali.

Huyu ndo Tundu Lissu ambaye kimsingi yupo kimaslahi zaidi kuchafua kampeini za mwaka huu ili uchaguzi ukiisha arudi Amsterdam ambapo ameisha pata makazi.

Nawaasa watanzania kumuona Lissu kama adui namba moja katika maendelea na amani ya Tanzania.

Hii maana yake Lissu amekiponza chama cha CHADEMA.

Naamini Tanzania iko macho Lissu ataondoka mikono mikono baada ya uchaguzi.

_Suphian Macha,_
*Mtanzania, London*
 
Kwenda huko Mwendawazimu wewe

Kwan unadhan Dunia haioni??? Unadhan Balozi mbalimbali zilizopo hapa kazi yake nn????.

Yaan TL atumie muda kupambana na njama zenu, bado atumie huo huo kuandika barua, sijui kutuna nann??

Et nawee umekaaa ukaona kwa tope lako ulojaza kichwan, hii ndo utuletee humu ????.

Jinga kabisa.
 
Wewe unaonyesha huko uliko umeolewa na unalishwa bure.njoo Huku uone Hali ya maisha yalivyo kwa watanzania ndipo uanze kuandika huo ujinga wako.
 
Mnajua MaCCM mnakuwa Wajinga sana aisee, mnapenda kupotoshana kwa mambo yasiyo na Kichwa wala miguu na mnayaamini na kumwaminisha Mwenyekiti wenu

Sasa nikuulize swali...Kuna Shida gani mteja kuandika Malalamiko yake na kumpa wakili wake? Kuna Shida gani mteja kuwasiliana na wakili wake? Wakili atajuaje Shida za mteja kama asipoelezwa na mteja?

Mnajua mnakuwa Wajinga sana yan!
 
Acha upumbavu, embu tuongee masuala yanayolenga wananchi na uchumi wao
sio porojo.
 
Back
Top Bottom