Elections 2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

Hapo lazima watumie nguvu ya ziada, huyo jamaa akiingia mjengoni hana simile - haya ndio mambo atakayoyalipua huko bila hata kuchakachua majina kwa kutumia tafsida:

There are also major concerns about the ‘revolving door’ of officials between the government and the mining companies, which raises questions of potential confl ict of interests. For example, in a 1996 letter to the Department of Foreign Affairs and International Trade (DFAIT) in Ottawa, the then Canadian High Commissioner to Tanzania Verona Edelstein informed her superiors of the impending visit to Canada by the then Permanent Secretary in the Ministry of Energy and Minerals, Dr Jonas Kipokola. Edelstein suggested that Dr Kipokola be introduced to Canadian mining companies since his ministry ‘shall be responsible for the removal of illegal miners from the Bulyanhulu area’, then at the centre of a bitter dispute between artisan miners and the Canadian company Sutton Resources. In August of that year, thousands of artisan miners were violently driven from the mine area in one of the bloodiest episodes in Tanzanian history. In 2003, Dr Kipokola was appointed chairman of a government committee set up to review mining policy and law relating to foreign investment in the sector. Soon after the committee submitted its report in late 2004, Dr. Kipokola was appointed General Manager for Government Relations for Barrick.


Chanzo:


A Golden Opportunity?: How Tanzania is Failing to Bene
fit from Gold Mining

© Mark Curtis and Tundu Lissu, March 2008
 
Tume ya Uchaguzi imemtangaza rasmi Tundu Lissu kuwa Mbunge wa Singida Mashariki kupitia CHADEMA

Namshukuru mungu karibu wabunge wote niliotaka waende Bungeni wamepita isipokuwa tu Mwanasheria Tambwe Shitambalaa wa Mbeya-Vijijini;huyu namjua vyema na kama angeingia mjengoni maslahi ya Taifa yangeimarika zaidi!

tupe data mkuu, ametangazwa na NEC au bado ni maneno ya watu?
 
LISU we love u, we TRUST you... we know you can... acha wapoteze muda tunajua wanatafuta njia ya KUCHAKACHUA ila nafasi hiyo haipo, u r our HERO...... karibu sana mjengoni uwaadabishe.
 
ikishindikana tuingie mtaani! Hatutaki uchakachuzi! Huku bukoba vjana walilala na sasa wanajuta, tunaomba singida msifanye ajizi simama kidete bila uoga na Mungu atasikia kilio chetu
 
Star Tv walikuwa wanaelekea kutangaza sasa naona TV zote ziko bize na wasanii NEC
 
LISU we love u, we TRUST you... we know you can... acha wapoteze muda tunajua wanatafuta njia ya KUCHAKACHUA ila nafasi hiyo haipo, u r our HERO...... karibu sana mjengoni uwaadabishe.

We need strong challenge to the ruling party in the House....Welcome Hon Tundu Lissu.
 
nataka kujua kinaendeleje huko nafanya kila namna kufanya mawasiliano huko kwa mnyampaa huyu sipati
 
Huyu mwanaharakati akifanikiwa kuingia bungeni itakuwa raha sana.... Bunge litachangamka... jamaa anajiamini sana. Akijimix na kina Mbowe, Kabwe, Mnyika na wengineo loh!!! ntakuwa sikosi vipind vya bunge mie... Sijui spika atakuwa nani.. Ningependa aridi Sitta.:hippie::hippie::hippie:
 
Huyu mwanaharakati akifanikiwa kuingia bungeni itakuwa raha sana.... Bunge litachangamka... jamaa anajiamini sana. Akijimix na kina Mbowe, Kabwe, Mnyika na wengineo loh!!! ntakuwa sikosi vipind vya bunge mie... Sijui spika atakuwa nani.. Ningependa aridi Sitta.:hippie::hippie::hippie:

Ngugu yangu, sio kujiamini tu. Jamaa ni mzalendo halisi na ana akili nyingi sana na yuko exposed. kama kijiamini hata makamba anajiamini, lakini anaongea upupu tu.

Tundu Lisu ninakuombea ushinde. eeeh kaka!!
 
nayasubiri kwa hamu kwel kwel, maana ukitaja, makiungu,mungaa,siuyu,ihanja, sepuka na kwingineko kunachemka tundu lissu
 
No ! Wabunge 50 ni kiduchu! Kicho kichwa ni mara 50 ya serikali nzima ya ccm! Ni thinker wa ukweli, dugu moja na dkt slaa
 
Back
Top Bottom