Atusomee kifungu cha 84 alichokisema polepole, pia sijawahi kuona hata siku moja akisoma kutoka humo kwenye ilani.Ilani Ipo mkuu Ilani Iliyopo Mgombea urais anainadi vizuri sana.
Tundu Lissu anasema "hii alani ni Agano au Covenant kati ya CHADEMA na watanzania" anaahidi kuisimamia na kuitekeleza ilani kisawa sawa.
Inasikitika kama hadi leo hujaisoma mkuu
Ama unashabikia vyama na si sera?
KAtiba mpya unanufaikaje nayo bwashee kama sio maana siasa?Hivi naachaje kumchagua Lissu wakati ana Sera ya kumsomesha hata mwanangu ambaye nimemsomesha private?
Hivi naachaje kumchagua Lissu ambae anarudisha makato ya mikopo ya bodi ya mikopo kutoka asilimia 15 ya magufuli hadi asilimia 6?...
Kama ipo twambie kifungu hicho alichokisema polepole je ni kweli mnaweka Mari zetu rehani? Na kwa mda gani?Ilani Ipo mkuu Ilani Iliyopo Mgombea urais anainadi vizuri sana.
Tundu Lissu anasema "hii alani ni Agano au Covenant kati ya CHADEMA na watanzania" anaahidi kuisimamia na kuitekeleza ilani kisawa sawa.
Inasikitika kama hadi leo hujaisoma mkuu
Ama unashabikia vyama na si sera????
Jiandae na Lockdown piaHivi naachaje kumchagua Lissu wakati ana Sera ya kumsomesha hata mwanangu ambaye nimemsomesha private?....
Na bado...mtapigwa spana mpaka mtakunya mwaka huu. Si mlikuwa mnasema chadema imekufa lleo unahaha kutafta ilani ya chadema ili muanze kuicopy.
Ili muifanyie copy and pasteTunataka kuona Yale anayo yasema yanatoka kwenye kifungu gani katika ilani yao na sio hadithi tu
Maana kwenye mtandao haipo sasa wengine tutaisoma wapi?
Hata wabunge wa chadema hawana labda wanapewa vipeperushi tu.
Chadema acheni usanii
Ziwekeni hadhalani tuzijadili.
Wanashindwa kusimamia michango ya wanachama na wabunge mpaka wanalalamika sembuse wataweza kusimamia fedha na maisha ya watanzania kweli msitanie watu.Ilani Ipo mkuu Ilani Iliyopo Mgombea urais anainadi vizuri sana.
Tundu Lissu anasema "hii alani ni Agano au Covenant kati ya CHADEMA na watanzania" anaahidi kuisimamia na kuitekeleza ilani kisawa sawa.
Inasikitika kama hadi leo hujaisoma mkuu
Ama unashabikia vyama na si sera????
Yaaanii wanatia huruma, utasikia Leo wanaponda ujenzi wa miundombinu ya maendeleo, kesho wakiamuka kivingine, utasikia wanasema eti nao watajenga na kufufua viwanda. Yaaanii hatujui wanamalengo gani na taifa hili.Habari wana jamvi,
Nimekuwa nikifuatilia mikutano yote ya CHADEMA, mara nyingi wanakuja na hadithi mpya na nyingi zinatungwa na washabiki wao hapa JF kisha mgombea anapanda nazo jukwaani...
Ipi iyo??? Wapi Lissu kasema ataweka lockdown???Jiandae na Lockdown pia
Wewe hayakuhusu kwani tayari uko upande ule wa fiestaTunataka kuona Yale anayo yasema yanatoka kwenye kifungu gani katika ilani yao na sio hadithi tu, Maana kwenye mtandao haipo sasa wengine tutaisoma wapi?....