SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
- Thread starter
-
- #21
Jukumu la tatu ni kuyaishi mapinduzi. Kwa ujumla anaongelea mchango wa Fidel Castro na Che G uavara ktk mapambano ya ukombozi, kudai haki bila kuchoka siku zote.
Rudi nyumbani tusaidiane kuwatoa,USIJITENGE NASI!Vijana... Vijana.... Asanteni sana kama wanavyuo mtakuwa na mwamko wa namna hii taifa hili litafika tu! LISU I SALUTE YOU BRO! mwendo huohuo hakuna kulalathanks kwa kutuhabarisha maana sisi tulio nje ya nchi tunapata taabu sana kuwasiliana na familia zetu... kisa umeme hakuna wameshindwa kuchaji simu!!!!! WATOENI HAO WALAFI...
Walishamaliza mitihani hawa wanafunzi? Umasikini+ Shule+Siasa=Kutangatanga. Waacheni vijana wasome kwanza?
Acha uzoba,kama ulibahatika kusoma ulikua unasoma mda wote wewe?
au hata shule hujui ni nini?
nyie ndo mnasoma kujibu mtihani tu na ukimaliza shule ulichosomea
huwezi kukifanyia kazi maana huna past paper huko mtaani
Walishamaliza mitihani hawa wanafunzi? Umasikini+ Shule+Siasa=Kutangatanga. Waacheni vijana wasome kwanza?
Sio kweli usiwadanganye watu,kama wewe umelidhika na maisha ya kwenu masaki wakati watoto wa wakulima wanateseka kaa kimya wasiliana na mdogo wako aliyeko marekani anayesoma kwa wizi wa kodi za watanzania,shule hujasoma peke yako tumesoma na tumepata upper second za law UDSM na sasa tumepata uwakili na siasa tulikuwa tukishiriki na haki zetu zilipovunjwa tuliweka migomo hadi kurudishwa nyumbani but still tuliperform vizuri sana,na vilele political science inafundishwa vyuoni ya nini kama hutaki mtu afanye siasa,kiongozi wa nchi ni nani pamoja na viongozi wengine,katiba yanini imeletwa kwa wananchi wachangie,kwa hiyo juwa siasa ni part ya maisha ya mwanadamu,BE SMART MY FRIEND,OUR FUTURE IS STLL IN OUR HANDS,AND KNOW THAT CCM THEY HAVE KILL OUR PAST AND THEIR NOW BUSY DESTROYING OUR FUTURE,BUT WE TRUST FREEDOM IS COMING.changanya elimu na siasa unatoka sifuri kichwani.
chadema waacheni vijana wasome shule. ni uchuro wanafunzi kuwa wanachama wa vyama vya siasa.
chuoni mahali pa kusoma siasa za dunia ukomunist ujamaa ubepari bourgeoisie class struggle sio umagamba au umagwanda.
hujui uandikalo siasa ndo inaamua mfumo wa elimu ktk nchi ,nenda W.elimu wakuambie jinsi siasa ilivyo na athari ktk elimu ya taifachanganya elimu na siasa unatoka sifuri kichwani.chadema waacheni vijana wasome shule. ni uchuro wanafunzi kuwa wanachama wa vyama vya siasa.chuoni mahali pa kusoma siasa za dunia ukomunist ujamaa ubepari bourgeoisie class struggle sio umagamba au umagwanda.
somo la siasa sijuwi kama lilisha tolewa mashulenichanganya elimu na siasa unatoka sifuri kichwani.chadema waacheni vijana wasome shule. ni uchuro wanafunzi kuwa wanachama wa vyama vya siasa.chuoni mahali pa kusoma siasa za dunia ukomunist ujamaa ubepari bourgeoisie class struggle sio umagamba au umagwanda.