Tundu Lissu, Mbowe, Baregu & Co. na foleni ya Chai Ikulu enzi hizo!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Hiki ndicho kinachotoa mapovu watu, na hapa ndipo chuki kubwa dhidi ya Raisi wetu Magufuli ilipo wanajua sasa hivi hapa Ikulu hapaingiliki tena, Raisi Magufuli amesema ana wawakilishi nchi nzima kuanzia ngazi ya chini kabisa hivyo hakuna haja ya yeye kukualika Ikulu!

CDM5.jpg

CDM6.jpg

c29.jpg

15g2dkx.jpg
 
Kwakweli akili yako naona inashindwa na ya kiwavi
 
Mwangalie Tundu Lissu alivyojipinda kujaza sukari kwenye kikombe chake, hadi miwani inataka kumdondoka.
Usitokwe na ufahamu hiyo sukari na kila kitu ni kodi za watanzania,wala siyo za hao mafisadi wa ccm
 
Dah kweli mkwere alikuwa hajali matumizi....chai ya watu wote hao si kumaliza sukari ya ikulu....kwa magu anaenda mmoja tu na anakunywa maji tu
 
Usitokwe na ufahamu hiyo sukari na kila kitu ni kodi za watanzania,wala siyo za hao mafisadi wa ccm
Sasa kwa nini ajipinde muda wote huo mpaka jamaa anaanza kugawa juisi yeye bado tu anajaza sukari kwenye kikombe? Hiyo sukari ni kodi yetu, awaachie na wenzake.
 
Kwahiyo Tundu Lissu ndo alikuwa weita au? Naona picha zote yeye ndo anasave Chai na jwisi ya maembe
 
Sasa kwa nini ajipinde muda wote huo mpaka jamaa anaanza kugawa juisi yeye bado tu anajaza sukari kwenye kikombe? Hiyo sukari ni kodi yetu, awaachie na wenzake.
Mulugo tutamkumbuka kwa mengi likwemo hili la kuharibu vijana kwa kuwapa elimu mbovu
 
ImageUploadedByJamiiForums1455289319.487153.jpg

Chai ya Ikulu kumbe inalegeza hivi? Ha ha ha au mpaka ukiinywa nyingi bila kufuata vipimo?
 
Back
Top Bottom