Chalii Wa Kipare
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 389
- 770
Watanzania kwa ujumla ni kama WAFU tu, hata ukilifinya halitikisiki, maneno anayozungumza Lissu niyakufikirisha sana lakini huoni watu wakijishughulisha nayo.
Kwa hiyo ukichukua rushwa wanaokudai wanavunja majengo ya ubia nakuharibu vitega uchumi na mali zinazotoa Kodi na ajiraUshahidi gani mbona wenzake kwenye NGO yao ya chama mfu wanasema hivyo, alilamba hela yeye na sugu za kuunga juhudi wakaingia mitini, sugu alijenga hotel ila baadaye akasaidiwa na balozi wa marekani kurudisha hela ya rushwa aliyochukua ccm mbowe akagoma wakaanza na bilcana, mashamba yake gazeti lake vuruga vyote na hasara aliyopata ni kubwa kuzidi hiyo hela aliyochukua, hayo ndiyo maneno ya wanachama wao wansema mwenyekiti mla rushwa hafai
mbona umeenda mbali sana 🤣Disciplined?How?Wale wa New Zealand wanaovaa kama bomba la mpapai(wanaume pale mbele)bila nguo nao utasema ni uncultured na undisciplined?Bado sana.
Aliyekudanganya Ulaya wanakula bata ni nani? 😂😂😂Wote tunalijua hilo ndio maana wakakuchangia gari huku wakijua wanao wanakula Bata Ulaya
WajanjaMmh! Wale wanaowachangia fomu za ubunge au rais nao unaitaje?
Wakimbizi wa kisiasa 😄Aliyekudanganya Ulaya wanakula bata ni nani? 😂😂😂
Hahaha KUMEKUCHA ni yanafyatuliwa mfululizoHii jumatatu sijui kama itaisha salama hahahhaah naona kuna makombora kila upande, hatupoi
Babu wa Loliondo 😂😂😂Ukweli wajinga ni wengi sana wee funguwa kajumba ka majani andika ...ukiingia humu utapata Utajiri....hiyo foleni ni kutoka Posta mpaka Pugu...
Ulikiwa mchepukko wake ?lisu ni kichaa full stop
Na yeye ni mtanzania hivyo Ujinga unamuhusu 😂😂... huwa nipo pamoja na LISSU kwenye hoja zake nyingi lakini anapoanza kuibuka na hoja ambazo hajazitafiti au pale anapotumia ujinga wa anaowadanganya huwa ananikata 'steam'!
... hivi nani hajui kuwa mvua za mwaka huu mikoa inayojaza maji yake mto Rufiji hazikuwa za kawaida?
... kwanini na yeye, na usomi wake, atumie ujinga wa watu kupenyeza ajenda zake? ... yaani watu wanaitwa majinga na ujinga wao kutumiwa HAPOHAPO ...!
TOO MUCH! 😅
Ukute hapo hata kyupi hujavaa inapigwa na upepo tuUshahidi gani mbona wenzake kwenye NGO yao ya chama mfu wanasema hivyo, alilamba hela yeye na sugu za kuunga juhudi wakaingia mitini, sugu alijenga hotel ila baadaye akasaidiwa na balozi wa marekani kurudisha hela ya rushwa aliyochukua ccm mbowe akagoma wakaanza na bilcana, mashamba yake gazeti lake vuruga vyote na hasara aliyopata ni kubwa kuzidi hiyo hela aliyochukua, hayo ndiyo maneno ya wanachama wao wansema mwenyekiti mla rushwa hafai
HahahaBabu wa Loliondo 😂😂😂
Tuache hata kutumia simu basi.mbona umeenda mbali sana 🤣
nadhani tatizo linaanzia hapo kwa kuchota ya kule unayaleta huku, that is slavery 🐒
YA KAISARI MPATIE KAISARI NA YAMUNGU MPENI MUNGU.Kwani sadaka kanisani siyo michango?Unawazungumziaje mapadre na wachungaji kuhusiana na michango?