Tundu Lissu is Very Expensive

Tundu Lissu is Very Expensive

Kuna msemo unasema 'Mtumikie kafir, upate mtaji wako'. Kama kweli viongozi wa CHADEMA kuokoa maisha ya Lissu wasingechagua wapi pa kupata msaada, ili mradi mgonjwa apate matibabu bora. Kama italazimu kuongea na serikali hata kama wana mikwaruzo nao wangefanya hivyo kwa kutambua wanachotaka ni matibabu. Lakini inanekana viongozi wa CHADEMA kususa kwa kiburi ilihali hawana uwezo. Huwezi kuringa wakati mgonjwa wako ni 'Critical but stable'.

Halafu Msigwa anasema kuna gharama za "Kuna gharama za viongozi waliokaa Nairobi kwa wiki mbili sasa". Hivi kuna ulazima wa kuwa na utitiri wa viongozi Nairobi?
Labda wangetumia 'Hekima Kwanza'
 
Ni kwa sababu hiyo kila siku kuna matamko mapya ambayo ni dalili za kiwewe kwa watu fulani ambao kimsingi katika matendo yao maovu walisahau Uwepo wa mamlaka ijulikanayo kama Mungu
 
Kuna msemo unasema 'Mtumikie kafir, upate mtaji wako'. Kama kweli viongozi wa CHADEMA kuokoa maisha ya Lissu wasingechagua wapi pa kupata msaada, ili mradi mgonjwa apate matibabu bora. Kama italazimu kuongea na serikali hata kama wana mikwaruzo nao wangefanya hivyo kwa kutambua wanachotaka ni matibabu. Lakini inanekana viongozi wa CHADEMA kususa kwa kiburi ilihali hawana uwezo. Huwezi kuringa wakati mgonjwa wako ni 'Critical but stable'.

Halafu Msigwa anasema kuna gharama za "Kuna gharama za viongozi waliokaa Nairobi kwa wiki mbili sasa". Hivi kuna ulazima wa kuwa na utitiri wa viongozi Nairobi?

Waweza kuwa uzao wa shetani ila hujijui, sikutukani lakini fanya upelelezi mkuu
 
Kwa hiyo posho za wabunge wa CCM mlitupa chooni?

Ushauri wa bure, choice have consequences; unakataa msaada wakati huna uwezo wa kumhudumia mgonjwa. What do you expect?
Hivi maneno yote haya ulitaka huyu aliyepigwa Risasi Mungu akazipitisha pengine akatibiwe kivipi? Mungu angemhitaji TL Risasi zingepiga kifua au Kichwa, kaponea hilo bado mnakasirika!
 
Logic za Tindu Lissu ni za mtu alieshushwa kama Malaika... Wasiokuwa na karama ya huyu Mtetezi wa haki za utu na Utawala wa sheria lazma wawashwewashwe.
 
Yaani hata kama ni mtari mmoja ukimzungumzia Lissu utaona raha ya Uzi....daaah
 
ILA TUACHE MASIKHARA. MAMBO YA YAMEPOA. HAKUNA WA KUIKOSOA SERIKALI KWA BIDII TENA. JAMAA ALIKUWA ANAWANYIMA USINGZ PALE 'WHTE HOUSE'...

TUNDU LISU JEMBE BWANA, AKIONGEA UNATAMANI ASMALIZE, AONGEE KUTWA NZIMA.
 
Me na jitafakari sipati majibu najuiliza sipati majibu waliomfanyia hivi Lissu wanajiskiaje kweli alafu heti wanaenda kanisani au msikitini kumuomba MUNGU awape uzima wakati walitaka kutoa hui wa mwenzo MUNGU nakuomba mponye Lissu
 
Hakuna hasara kumtibu Lissu hata kwa billioni tano! Hiki kiumbe is from another planet. Ndio maana wanahitaji uhai wake kwa hali na mali!
 
Halafu Msigwa anasema kuna gharama za "Kuna gharama za viongozi waliokaa Nairobi kwa wiki mbili sasa". Hivi kuna ulazima wa kuwa na utitiri wa viongozi Nairobi?
we ungeshughulikia MAKINIKIA na ya Nairobi hayakuhusu hivi umejiuliza gharama zilizotumika kwa ajili ya shambulio la TL we acha UTANI wa awamu
 
He is expensive because he is an Icon of democracy amidst our soiled politics
Heshima Kwenu,

Nimesoma maelezo ya Mchungaji Msigwa, mbunge wa Iringa Mjini kuhusu ugumu wa safari ya kumpeleka TL Narobi, gharama za fedha na kujitolea, nimeshangaa.

Kwa mujiibu wa Msigwa, mpaka sasa wametumia kiasi cha TSh. 160 milioni kwa matibabu tu. Wakati wa safari Mh. Mbowe alishikilia mirija ya mtungi wa gesi kwa kuwa ilikuwa imetoboka, Much. Msigwa alishikilia kitanda kwa kuwa kilifyatuka. Madaktati walikuwa na kazi ya kushikilia dripu za maji.

Kumekuwa na juhudi za kutafuta ndege maalum(air ambulance) kwa ajili ya kumpeleka Mh. Lisu Marekani au Uingereza na gharama ya usafiri ni $ 250,000 au Tsh. 550 milioni ingawa,imeshauriwa kusubiri. Hizi ni fedha nyingi.

Waheshimiwa wabunge wote wamechanga nusu ya posho zao za siku. Wananchi nao kwa ujumla wao wamechanga kupitia simu.
Kuna gharama za viongozi waliokaa Nairobi kwa wiki mbili sasa. Hizi si gharama ndogo.

Chama cha Wanasheria wa Uingereza kutuma barua Tanzania kuhoji mkasa wa Tundu Lisu kunaonesha thamani na umuhimu wake kwa wananchi, wabunge wenzake na serikali pia. Kuna watu wamebeba mzigo kwa ajili ya maombi.
Watu wengi wamejitolea muda, hali na mali.
Huu ndiyo uzalendo wa kweli.
 
Kuna msemo unasema 'Mtumikie kafir, upate mtaji wako'. Kama kweli viongozi wa CHADEMA kuokoa maisha ya Lissu wasingechagua wapi pa kupata msaada, ili mradi mgonjwa apate matibabu bora. Kama italazimu kuongea na serikali hata kama wana mikwaruzo nao wangefanya hivyo kwa kutambua wanachotaka ni matibabu. Lakini inanekana viongozi wa CHADEMA kususa kwa kiburi ilihali hawana uwezo. Huwezi kuringa wakati mgonjwa wako ni 'Critical but stable'.

Halafu Msigwa anasema kuna gharama za "Kuna gharama za viongozi waliokaa Nairobi kwa wiki mbili sasa". Hivi kuna ulazima wa kuwa na utitiri wa viongozi Nairobi?
wasiojulikana hawawezi kumtibu adui yao.... Kama unabisha wambie wakuonyeshe flash! Waliyotumia kutangaza kifo.....
 
kiukweli gharama ya lissu huwezi fananisha na kiasi chochote cha pesa. poleni sana singida. poleni watanzania wanyonge.
 
Tundu Lissu sio kuwa expensive tu. Tundu Lissu is an asset to United Republic of Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom