Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,322
- 219,648
Mia mia kama asemavyo figganiggaAkihutubia Umati wa wananchi huko Tabora , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu anesema kwamba viongozi wanaoongoza Tanzania kwa sasa hawawatetei wananchi kwa vile hawakupigiwa kura .
Akizungumza kwa kujiamini huku akitoa mifano kadhaa iliyo hai mbele ya Mwenyekiti wake Mbowe na Mbele ya umati wa Wananchi wa Tabora , Lissu amedai kwamba kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 , na ule wa madiwani , Wabunge na wa Rais 2020 , hakuna hakuna kura yoyote aliyopiga mwananchi iliyotoa kiongozo , wote mnaowaona walitangazwa tu .
Lissu amedai kwamba hata ukimuuliza Dr Samia leo atutajie idadi ya kura za Urais ambazo yeye na Magufuli walipata 2020 hawezi kuzitaja kwa sababu hakuna mahali popote zilipoandikwa .
Amesisitiza kwamba Viongozi ambao hamkuwachagua hawawezi kuwa na uchungu na nyinyi , ndio maana hawawatetei na wanawatwanga tozo za kufa na kupona .
Toa Maoni yako
alikuwa anaumwa nini ?Mna uhakika kapona huyo!?
Hayo matokeo umeyatoa wapi ikiwa hayakuandikwa popote ?Kushindwa ni matokeo yanayoumiza sana na kukabiliana na kushindwa hususani kwa mtu mweusi mara nyingi huwa ni ngumu sana kuliko kwa wenzetu. Lissu anasumbuliwa na kutokukubali kushindwa na maumivu yanayoambatana na hiyo Hali.
Hata kama kuna hiyo Imani inayoaminiwa sana na upinzani ya kuibiwa kura Lissu alipata 13% ya kura zote ,idadi ambayo ukweli tu usemwe asingeweza kushinda.
Uongo huu CCM wanatakiwa kuutolea majibu kwa kuelezea mchakato mzima wa upigaji kura ili aumbuke na uongo wake.
Mawakala wa Lissu walikuwa hawaamini wanachokiona mtu wao alivyokuwa anatolewa kamasi mapema sana. Mimi namshangaa sana ujasiri wa kudai kaporwa ushindi ameupata wapi?Hayo matokeo umeyatoa wapi ikiwa hayakuandikwa popote ?
Ameyasema hayo mbele ya Mwenyekiti Mbowe!!!! Unataka kusema nini bwashee?? Alitaka ujumbe umpate mlamba asali?Akihutubia Umati wa wananchi huko Tabora , Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu anesema kwamba viongozi wanaoongoza Tanzania kwa sasa hawawatetei wananchi kwa vile hawakupigiwa kura .
Akizungumza kwa kujiamini huku akitoa mifano kadhaa iliyo hai mbele ya Mwenyekiti wake Mbowe na Mbele ya umati wa Wananchi wa Tabora , Lissu amedai kwamba kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 , na ule wa madiwani , Wabunge na wa Rais 2020 , hakuna kura yoyote aliyopiga mwananchi iliyotoa kiongozi , wote mnaowaona walipita bila kupingwa au walitangazwa tu .
Lissu amedai kwamba hata ukimuuliza Dr Samia leo atutajie idadi ya kura za Urais ambazo yeye na Magufuli walipata 2020 hawezi kuzitaja kwa sababu hakuna mahali popote zilipoandikwa .
Amesisitiza kwamba Viongozi ambao hamkuwachagua hawawezi kuwa na uchungu na nyinyi , ndio maana hawawatetei na wanawatwanga tozo za kufa na kupona .
Toa Maoni yako
Wakiweza kueleza mchakato ulivyokuwa najitoa jf.Kushindwa ni matokeo yanayoumiza sana na kukabiliana na kushindwa hususani kwa mtu mweusi mara nyingi huwa ni ngumu sana kuliko kwa wenzetu. Lissu anasumbuliwa na kutokukubali kushindwa na maumivu yanayoambatana na hiyo Hali.
Hata kama kuna hiyo Imani inayoaminiwa sana na upinzani ya kuibiwa kura Lissu alipata 13% ya kura zote ,idadi ambayo ukweli tu usemwe asingeweza kushinda.
Uongo huu CCM wanatakiwa kuutolea majibu kwa kuelezea mchakato mzima wa upigaji kura ili aumbuke na uongo wake.
Yapo kwenye tovuti ya Tume ya Uchaguzi kama sheria zinavyoelekeza au ni matango pori ya Dr Mahera ?Magufuli 84%
Tundu Lisu 13%
Au anataka matokeo gani?
Thubutu !Wakiweza kueleza mchakato ulivyokuwa najitoa jf.
Ni msisitizo tuAmeyasema hayo mbele ya Mwenyekiti Mbowe!!!! Unataka kusema nini bwashee?? Alitaka ujumbe umpate mlamba asali?
Kushindwa ni matokeo yanayoumiza sana na kukabiliana na kushindwa hususani kwa mtu mweusi mara nyingi huwa ni ngumu sana kuliko kwa wenzetu. Lissu anasumbuliwa na kutokukubali kushindwa na maumivu yanayoambatana na hiyo Hali.
Hata kama kuna hiyo Imani inayoaminiwa sana na upinzani ya kuibiwa kura Lissu alipata 13% ya kura zote ,idadi ambayo ukweli tu usemwe asingeweza kushinda.
Uongo huu CCM wanatakiwa kuutolea majibu kwa kuelezea mchakato mzima wa upigaji kura ili aumbuke na uongo wake.
Hilo swali kaiulize Tume siyo CCMYapo kwenye tovuti ya Tume ya Uchaguzi kama sheria zinavyoelekeza au ni matango pori ya Dr Mahera ?
Hilo swali kaiulize Tume siyo CCM