wilcoxon
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 1,095
- 2,832
Labda hukumwelewa alimshauri huyo JPM ajitoe kwanza MIGA ndiyo avunje hiyo mikataba, meko angesikiliza ushauri wa Lissu leo tusingekuwa na mashitaka ya kudaiwa trillion 3+Mwanasiasa /Mwanasheria gani mwoga kiasi hiki? inamaana hakipewa nchi anaweza kuacha madudu ya mikataba mibovu yanaendelea kutafuna taifa,kisa kuogopa kushitakiwa MIGA,sasa wanatafuta urais wanini kama wakipata alafu nchi ikaendelea kupoteza matrione ya pesa