Tundu Lissu hata kama humpendi utamkubali tu, yuko very Strategic and Visionary. Dunia tunayoiendea inahitaji watu wa aina yake

Mwanasiasa /Mwanasheria gani mwoga kiasi hiki? inamaana hakipewa nchi anaweza kuacha madudu ya mikataba mibovu yanaendelea kutafuna taifa,kisa kuogopa kushitakiwa MIGA,sasa wanatafuta urais wanini kama wakipata alafu nchi ikaendelea kupoteza matrione ya pesa
Labda hukumwelewa alimshauri huyo JPM ajitoe kwanza MIGA ndiyo avunje hiyo mikataba, meko angesikiliza ushauri wa Lissu leo tusingekuwa na mashitaka ya kudaiwa trillion 3+
 
Not only that, viongozi wetu wanawaogopa sana hao wanaowaita wadau wa maendeleo.

Akikamatwa lisu si ajabu mjadala ukahamia ndani ya bunge la EU, ikawa fedheha kwa viongozi.
Above all ni kuwa, jamaa (Tundu Lissu na CHADEMA) wala hawavunji au kukiuka sheria yoyote ile. Uwakamatie na kuwashitaki kwa lipi hasa?

Kinachofanyika ni kina Tundu Lissu kutumia ujinga na upumbavu na maamuzi ya hovyo ya watawala na CCM kuwapiga nayo..

Kama wanataka kupona, basi ni lazima waanze kutumia akili zao vyema ktk kufanya maamuzi Kwa ajili ustawi na maendeleo ya wananchi..
 
View attachment 2735299

Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.

Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.

Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.

Jumaa Mubarak 😀🌟
Sometimes akili huwa zinakurudia. Ila kanakuwa kamuda kafupi sana. Rudi nyumbani kawaombe msamaha wazazi, wakikubariki you are delivered
 
Labda hukumwelewa alimshauri huyo JPM ajitoe kwanza MIGA ndiyo avunje hiyo mikataba, meko angesikiliza ushauri wa Lissu leo tusingekuwa na mashitaka ya kudaiwa trillion 3+
Unajua
Labda hukumwelewa alimshauri huyo JPM ajitoe kwanza MIGA ndiyo avunje hiyo mikataba, meko angesikiliza ushauri wa Lissu leo tusingekuwa na mashitaka ya kudaiwa trillion 3+
Unajua taratibu za kujutoa MIGA au unaongea tu?acha kusikiliza maneno ya vigeugeu akina Lissu mchana ni kondoo usiku mbwa mwitu kwanza kwenda kujitoa MIGA utaratibu waweza chukua miaka 5,ile ni mikataba ya kimataifa ukiisha sain umeisha, ndio maana Sasahivi watanganyika wanapiga kelele juu IGA ya akina Samia,ukisha pita ukasain kujitoa mpaka uwe na fidia yao mkononi watakayo taka,Lissu hilo analijua ila anawashika masikio marofa kama nyinyi,hao unaosema umeshitaki waneshitaki Magufuli yupo,wasingekubali kulipa $ dollars kama fidia ya makenikia na accecia kufutwa.
 
Lissu unaemsema kuwa ni kigeugeu ameanza kupinga hiyo mikataba ya kipumbavu na kifisadi toka enzi za mkapa wakati huyo mungu wako alikuwa anagonga meza bungeni kupitisha hiyo mikataba, wewe ndiye lofa unaeamini kila alichokifanya meko ni sahihi wakati wasaidizi wake wa karibu kina Prof Kabudi wameshamkana alichokuwa anafanya ni utapeli
F7CB78F5-D1DA-4F09-A5F4-BE65BF0CB989.jpeg
 
Back
Top Bottom