Tundu Lissu hata kama humpendi utamkubali tu, yuko very Strategic and Visionary. Dunia tunayoiendea inahitaji watu wa aina yake

View attachment 2735299

Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.

Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.

Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.

Jumaa Mubarak 😀🌟
Tindu Lissu, 'tutashitakiwa MIGA tunyolewe na vipande vya chupa bila maji" nimwanisiasa aina ya mdudu kinyonga,hana msimamo anayumbayumba,by Dk Slaa.
 
View attachment 2735299

Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.

Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.

Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.

Jumaa Mubarak 😀🌟
Kama tungekuwa ni Taifa ambalo serikali na taasisi zake zinachukua hatua kwa ufisadi unaotajwa na Lissu na wengine, hakika ingekuwa inaleta maana kwa Lissu kubaki upinzani na kulipua mabomu ya ufisadi.

Sasa kwa kuwa tupo na Taifa lenye serikali isiyochukua hatua,basi ingeleta maana kama tungemtumia Lissu huko serikalini ili uwezo wake mkubwa alionao uweze kulisaidia Taifa kupitia huko serikalini.

Ni upumbavu wa kiwango cha "bullet train" kutomtumia TL kwa uwezo wake mkubwa alionao kwa maslahi ya nchi kisa tu eti yupo upinzani!
 
jiwe waliolikataa waashi hilo ndio limekuwa jiwe kuu la pembeni. He is on of his kind na kwenda kuishi belgium kumemnoa sana kichwa kitaaluma lisu. Ni mtu anaongea na fact tupu sasa hivi
 
Je tumeshatakiwa hatujashitakiwa? Uliona Professor Muruma alivyogaragazwa au upo unajitekenya na kujicheka mwenyewe?
Mwanasiasa /Mwanasheria gani mwoga kiasi hiki? inamaana hakipewa nchi anaweza kuacha madudu ya mikataba mibovu yanaendelea kutafuna taifa,kisa kuogopa kushitakiwa MIGA,sasa wanatafuta urais wanini kama wakipata alafu nchi ikaendelea kupoteza matrione ya pesa
 
View attachment 2735299

Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.

Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.

Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.

Jumaa Mubarak 😀🌟
Uzuri wako, tofauti kabisa na yule mwingine aliyejitambulisha kuwa naye ni mtu wa CCM na huandika magazeti mengi na marefu sana humu JF; wewe ni mkweli wa nafsi yako, na hujifichi kwa nadhiri uliyolishwa na chama hicho kibovu.
Mwishowe inanifanya niamini kuwa wewe utakuwa ni mstaafu wa ngazi ya juu, aliyekitumikia chama hicho kilipokuwa cha wafanya kazi na Wakulima. Wengi tulikipenda chama hicho, lakini siyo hiki cha leo.

Kwa sasa hivi, ni Lissu pekee kajitambulisha waziwazi kwamba mpambanaji kwa maslahi ya nchi na wananchi wake.

Sijui kwa nini Magufuli hakuweza kuziona hizi sifa za huyu mtu tokea mwanzo, kabla ya kutaka kufanya kama alivyotaka iwe.

Tunawahitaji sana watu wa aina ya Lissu kwa wakati huu kwa taifa letu kubaki salama.
 
View attachment 2735299

Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.

Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.

Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.

Jumaa Mubarak 😀🌟
Na wewe Mkuu umeshakubali hilo basi watakuwepo wengi wengine kutoka kipande Hiyo wameshamkubali sana jamaa !!
Siku hazigandi ! Ngoja tuone !!
 
View attachment 2735299

Huyu jamaa Tundu Antipas Lissu ukiweka uvyama pembeni ni Mtu Makini sana.

Pamoja na Changamoto zote alizopitia ndio amezidi kuwa mwiba kwa wezi na Mafisadi.

Hakika Jasiri ni Jasiri na kamwe haachi Asili.

Jumaa Mubarak 😀🌟
Na inashangaza sana kuwa IGP Cammilius Wambura na DCI wake Ramadhani Kingai, badala ya kumkamata Tundu Lissu kwa uhaini wa kujadili na kuuchambua mkataba wa bandari ktk namna ya kuudhi, kukera na kuivua nguo serikali na CCM na Rais wao Samia Suluhu Hassan, eti wanamkamata Mzee wa watu Dr Slaa na mtu kama Mdude Nyangali au Wakili Boniface Mwambukusi..!

Nadhani wanashindwa kumfanya lolote kwa sababu jamaa ni kweli yuko very smart anapofanya mashambulizi yake..
 
Nadhani wanashindwa kumfanya lolote kwa sababu jamaa ni kweli yuko very smart anapofanya mashambulizi yake..
Not only that, viongozi wetu wanawaogopa sana hao wanaowaita wadau wa maendeleo.

Akikamatwa lisu si ajabu mjadala ukahamia ndani ya bunge la EU, ikawa fedheha kwa viongozi.
 
Back
Top Bottom