Tundu Lissu hajaalikwa kuhutubia University of Maryland, bali CHADEMA wa dissapora wamekodi ukumbi karibu na Chuo hicho

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,526
habari wadau..

naona uzi mrefu unatembea humu kuhusu Tundu Lissu kualikwa chuo kikuu cha Maryland.. na huo uzi umeanza na introduction nzito ya kukitambulisha chuo kikuu cha mary land... huku uhalisia chuo kikuu hiko hakimjui Lissu na hakijamualika kusema chochote.. na hata kwenye website ya university of maryland hakuna taarifa yeyote kuhusu hiyo hotuba..

marekani kuna wana chadema wanajiita chadema dissapora.. hao wengi wanakaa washington dc na mary land maana sio mbali sana..

sasa wameandaa mkutano na kukodi ukumbi karibu na chuo kikuu cha Mary land.. na wa huku dar wamezusha Tundu lissu kaalikwa na chuo kikuu cha Mary land..

Kwa mtu makini ukisikiliza vizuri maelezo ya Tundu Lissu kwenye video ya kuutangaza mkutano.. utaelewa kwamba sio chuo kikuu cha Maryland bali ni jirani na chuo kikuu cha Maryland.

na hata ukitazama website ya University of Maryland hakuna taarifa yeyote kuhusu Tundu Lissu kwenye ratiba yao ya event za university hiyo kongwe.. wazungu sio wajanja wajanja kila kitu huwa wanaweka taarifa... link ya website ya univesity of Maryland hiyo hapo.. itazmeni mumtafute lissu huko

The University of Maryland | A Preeminent Public Research University

chadema wanachosema ni sawa na mbowe akodi ukumbi pale container survey ahutubie.. halafu asema amealikwa na Ardhi University ahutubie, au Cuf wakodi ukumbi pale changanyikeni au mliman city wahutubie.. halafu waseme wamealikwa na chuo kikuu cha Dar es salaam
 
Attachments

  • 52174492_534951496992943_7855215994329890816_n.mp4
    2.4 MB · Views: 26

chadema wanachosema ni sawa na mbowe akodi ukumbi pale container survey ahutubie.. halafu asema amealikwa na Ardi University ahutubie, au Cuf wakodi ukumbi pale changanyikeni au mliman city wahutubie.. halafu waseme wamealikwa na chuo kikuu cha Dar es salaam

Umeshusha pumzi sasa maana ulikuwa hoi atatoa nondo gani tena leo mbele ya wasomi!
 
Hata sngealikwa hapo The University of Maryland cha ajabu kitu gani?
 
dissapora ni mnyama gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha haaaaaa
Bora umetuambia kinachojiri.. maana.. nilifikiri kaomba akaongee huko chuoni kuomba kuwa mwanafunzi.
Hao watakuwa wanamsaidia na kusafisha viatu vyake kwa jinsi haswa yule aliyewania uongoxi na kushindwa ana uchu na uongo mwingi.. hata huko walimtosa uongozi akabaki kupiga domo tu.
 
habari wadau..

naona uzi mrefu unatembea humu kuhusu Tundu Lissu kualikwa chuo kikuu cha Maryland.. na huo uzi umeanza na introduction nzito ya kukitambulisha chuo kikuu cha mary land... huku uhalisia chuo kikuu hiko hakimjui Lissu na hakijamualika kusema chochote.. na hata kwenye website ya university of maryland hakuna taarifa yeyote kuhusu hiyo hotuba..

marekani kuna wana chadema wanajiita chadema dissapora.. hao wengi wanakaa washington dc na mary land maana sio mbali sana..

sasa wameandaa mkutano na kukodi ukumbi karibu na chuo kikuu cha Mary land.. na wa huku dar wamezusha Tundu lissu kaalikwa na chuo kikuu cha Mary land..

Kwa mtu makini ukisikiliza vizuri maelezo ya Tundu Lissu kwenye video ya kuutangaza mkutano.. utaelewa kwamba sio chuo kikuu cha Maryland bali ni jirani na chuo kikuu cha Maryland.

na hata ukitazama website ya University of Maryland hakuna taarifa yeyote kuhusu Tundu Lissu kwenye ratiba yao ya event za university hiyo kongwe.. wazungu sio wajanja wajanja kila kitu huwa wanaweka taarifa... link ya website ya univesity of Maryland hiyo hapo.. itazmeni mumtafute lissu huko

The University of Maryland | A Preeminent Public Research University

chadema wanachosema ni sawa na mbowe akodi ukumbi pale container survey ahutubie.. halafu asema amealikwa na Ardhi University ahutubie, au Cuf wakodi ukumbi pale changanyikeni au mliman city wahutubie.. halafu waseme wamealikwa na chuo kikuu cha Dar es salaam
Unateseka!
 
Lissu amewatendea vibaya sana, akiendelea hivi kwa wiki mbili zaidi naamini tutawakuta barabarani mnataja lissu kama wehu, pole

watu wanajenga reli, wanajenga mahospitali, watu wanajenga mabara bara.. mafisadi wana tapa tapa.. tumuogope lissu mshenzi anakodi ukumbi karibu na chuo.. mnasema kaalikwa kutoa lecture...
 
habari wadau..

naona uzi mrefu unatembea humu kuhusu Tundu Lissu kualikwa chuo kikuu cha Maryland.. na huo uzi umeanza na introduction nzito ya kukitambulisha chuo kikuu cha mary land... huku uhalisia chuo kikuu hiko hakimjui Lissu na hakijamualika kusema chochote.. na hata kwenye website ya university of maryland hakuna taarifa yeyote kuhusu hiyo hotuba..

marekani kuna wana chadema wanajiita chadema dissapora.. hao wengi wanakaa washington dc na mary land maana sio mbali sana..

sasa wameandaa mkutano na kukodi ukumbi karibu na chuo kikuu cha Mary land.. na wa huku dar wamezusha Tundu lissu kaalikwa na chuo kikuu cha Mary land..

Kwa mtu makini ukisikiliza vizuri maelezo ya Tundu Lissu kwenye video ya kuutangaza mkutano.. utaelewa kwamba sio chuo kikuu cha Maryland bali ni jirani na chuo kikuu cha Maryland.

na hata ukitazama website ya University of Maryland hakuna taarifa yeyote kuhusu Tundu Lissu kwenye ratiba yao ya event za university hiyo kongwe.. wazungu sio wajanja wajanja kila kitu huwa wanaweka taarifa... link ya website ya univesity of Maryland hiyo hapo.. itazmeni mumtafute lissu huko

The University of Maryland | A Preeminent Public Research University

chadema wanachosema ni sawa na mbowe akodi ukumbi pale container survey ahutubie.. halafu asema amealikwa na Ardhi University ahutubie, au Cuf wakodi ukumbi pale changanyikeni au mliman city wahutubie.. halafu waseme wamealikwa na chuo kikuu cha Dar es salaam
We ni msemaji wa Maryland university au ni kiherehere?
 
Ha ha ha haaaaaa
Bora umetuambia kinachojiri.. maana.. nilifikiri kaomba akaongee huko chuoni kuomba kuwa mwanafunzi.
Hao watakuwa wanamsaidia na kusafisha viatu vyake kwa jinsi haswa yule aliyewania uongoxi na kushindwa ana uchu na uongo mwingi.. hata huko walimtosa uongozi akabaki kupiga domo tu.
Hivi wewe hua unajua kiswahili kweli?

Au unatumia google translator?
 
Aliyekwambia ni chuoni nani? Mbona Lissu ana video clip anaelezea issue hiyo na kuelekeza sehemu anasema watapata kwa waandaaji kwani yeye hapafahamu vyema ana miaka 17 toka atoke huko

Mnafiki tu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom