Tundu Lissu alidai kuwa CUF ni CCM B kwa kuwa CUF na CCM walifunga ndoa kwa kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Sasa tuambie hiyo ndoa ilishavunjwa au bado? Msitupelekeshe kihivyo wakuu mkafikiri tumesahau yaliyopita!
Hivi tutaendelea kuishi kwa uwongo hadi lini?
Kila Chadema inapozidiwa kisiasa huibuka na madai ya kutunga ili kutafuta huruma ya wananchi.
Chadema waliwahi kuuaminisha Uma kuwa chama cha CUF ni ccm B,kuwa wamefunga ndoa na ccm hivyo hakuna sababu ya kushirikiana na Mamluki.
Hawakuishia hapo wakaituhumu CUF kuwa ni chama cha Mashoga.
Wananchi wengi tuliwaamini Chadema na kuwaunga Mkono.
Mbatia alivyotaka kuinuka kisiasa nae akabambikwa tuhuma ili kumchafua kisiasa.
Mbatia akaitwa kuwa ni Shushushu wa serikali ya ccm na hivyo yupo Upinzani kuvuruga.
Wakaenda Mbali kwa kutoa ushahidi wa kuteuliwa kwake na Rais kuwa Mbunge wa kuteuliwa,watu tukawaamini.
Ghafla Chadema ikaungana na Wasaliti wa ukombozi.
Chadema ikaungana na ccm B.
Chadema ikaungana na Mashoga.
Najiuliza hivi ni lini Chadema ilifuta kauli yake kuwa CUF ni CCM B?
Hivi ni chadema ninayoijua iliyoamua kushirikiana na Mashoga?
Ukweli ni kuwa Uongo hupanda ghorofa kwa kutumia lift.
Lakini ukweli hupanda ghorofa kwa Ngazi.
Baada ya Chadema kuishi kwa kuwatungia uongo ili wao waendelee kuwa chama kikubwa ni siasa za Kitoto na siasa ambazo hazina tija.
Baada ya ukweli kugundulika sasa wanahaha kujinusuru na hasira za wananchi waliodanganywa kwa muda mrefu.
Badala wajisahihishe na kuwaomba radhi watanzania kwa kuwadanganya Kihusu U-CCM B na Ushoga wa CUF.
Wamerudia tena Makosa.
Safari hii neno Mmluki wamelihamishia ACT-Wazalendo kwa lengo lilelile.
Mbaya zaidi wanarudia Makosa ambayo tayari wananchi wameshayagundua.
Karibu kila Mtanzania anajuwa kuwa Chadema wamezoea kuishi kwa Ulaghai na nikwasababu hiyo wananchi wamewapuuza propaganda zao.
Kila Chadema inapotumia neno CCM B na Wasaliti ndivyo wanavyowakumbusha wanamchi na kuwatia hasira kuhusu uongo wao dhidi ya CUF na NCCR.
Wananchi hufurika kwenye mikutano ya ACT-Wazalendo kama sehemu ya kuonyesha kwa vitendo jinsi walivyochukizwa na uongo wa kutunga.
Uongo huwa haudumu sana,ukweli unapodhirika huwa ndio mwisho wa uongo.
Unaweza kuwadanganya watu wachache kwa muda wote,unaweza kuwadanganya watu wengi kwa muda mchache lkn huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote.
Tujusahihishe.

Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa mawazo .mtoa mada ni maskini wa akili .
na nyie act mnavyosema chadema ni cha wachaga thibitisheni kwanza
Tulia dawa ikuingie

Tuliaminishwa na of course mimi niliamini kwa dhati kuwa CUF ni CCM B! Aliyenifanya niamini hivyo si mwingine ni mwanasiasa machachari na "mwanasheria nguli" Tundu Lissu!
Kwa kudhihirisha hilo CHADEMA ilikataa kabisa kata kata kuungana na CUF ili kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni!
Hata hivyo, hivi karibuni CUF kimeshikamana na CHADEMA wakiiponda CCM eti kupanga maandamano na mikutano ya hadhara kwa pamoja! Kweli hii ni ajabu sana!
Hebu tujiulize maswali yafuatayo:
1. Je, tuhuma za u-CCM B za CUF zilikuwa za kweli?
2. Kama zilikuwa za kweli, Je, kwa sasa CUF imeshakuwa "mtoto mzuri" na hatarudia tena utukutu wake?
3. Kama zilikuwa si za kweli, kuna sababu yoyote ya kuendelea kuiamini CDM?
4.......
Karibuni kwa mjadala, matusi, kejeli, nk si mahala pake, hata kama hatutakubaliana kila kitu, tuheshimiane!
ivi story za fb tangu lini zimeanza kuletwa jf? au watu mmesahau sheria za Jf .acheni kushusha hadhi ya JF