Tundu Lissu azidi kufunguka!

Tundu Lissu azidi kufunguka!

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,714
Kumbe haya mambo yameota mizizi nimemsikiza Mh.Tundu Lisu(jembe)akiwataja aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar Kassim Hanga na wengine Abdulla Twalla,Mbungi Ussi na Othman Sheriff (kama nitakuwa nimekosea majina )kuwa walitoweka kufuatia kuhoji kwao kuhusu uhalali wa muungano,TL anasema hakuna anayeweza kueleza hawa watu walitoweka vipi lakini wote walikuwa viongozi ktk serikali ya mapinduzi Zanzibar!
Tumeshuhudia hata hivi leo watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari wanatekwa, wanauwawa na wenye roho za paka wanazindukia ktk chumba cha wagonjwa mahututi.Mifano ni kama Amran Kombe,Mwangosi,Kolimba,Dr. Ulimboka na wengine wengi,hivi imefika wakati tuamini serikali inahusika?
 
Kumbe haya mambo yameota mizizi nimemsikiza Mh.Tundu Lisu(jembe)akiwataja aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya Zanzibar Kassim Hanga na wengine Abdulla Twalla,Mbungi Ussi na Othman Sheriff (kama nitakuwa nimekosea majina )kuwa walitoweka kufuatia kuhoji kwako kuhusu uhalali wa muungano,TL anasema hakuna anayeweza kueleza hawa watu walienda wapi lakini wote walikuwa viongozi ktk serikali ya mapinduzi Zanzibar!
Tumeshuhudia hata hivi leo watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari wanatekwa, wanauwawa na wenye roho za paka wanazindukia ktk chumba cha wagonjwa mahututi.Mifano ni kama Amran Kombe,Mwangosi,Kolimba,Dr...... na wengine wengi,hivi imefika wakati tuamini serikali inahusika?

List ni ndefu sana na ukweli ni kuwa serikali ya CCM inahusika kwa 100% ndo maana hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kuchukuliwa hatua kwa matukio hayo mpaka haki ikatendekeka na ikaonekana kutendeka. Kinachofanyika ni usanii na hatimae kesi huishia kinyemela na maisha huendelea as usual! Ukweli CCM hawana uwezo wa kujinasua na mauaji hayo!
 
Hata mauaji ya karume yalipangwa na muuaji akapelekwa Tanganyika kuongezwa cheo
 
Ee Mwenyezi Mungu tunakuomba uendelee kumlinda Tundu Lissu na wale wote wenye Nia njema katika kirudisha Tanganyika yetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom