Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 596
Hili lazima litakuwa Korona. TL ni sehemu ya Corona Covid-19. Nilipogundua alitaka Watanzania tupigane na tubaguane ili iwe Rahisi kwa Wafadhili wake kunufaika na rasilimali nyingi zilizopo Tanzania, niliisha muona ni moja ya epidemic disease hatari kuliko hata Covid-19.
Kwani kupiga picha na bia inakushangaza nini? Mbona usishangae na MTU anayepiga picha na kikombe cha kahawa kijiweni baada ya kukimbia mapambano mjini na kumwachia Ummy Mwalimu?Ilishindikanaje Bwana Lisu aspige picha pamoja na zawadi yake ikiwa tu anaweza kupiga picha akiwa amebeba (gongo/ bia) mkononi akiwa anatanua na kuonyesha jinsi anavyoziweza starehe?
Eti gongo😀😆😀😆. Hii kitu Ubelgiji pia inapatikana?Ilishindikanaje Bwana Lisu aspige picha pamoja na zawadi yake ikiwa tu anaweza kupiga picha akiwa amebeba (gongo/ bia) mkononi akiwa anatanua na kuonyesha jinsi anavyoziweza starehe?
Ametoa mfukoni mwake?.Zawadi apewe lisu harafu gari liandikwe chadema!
Chadema ushamba utaisha lini? Sasa bus litawasaidia nini!
Mwezenu ccm katoa hela za mwenge ziende kwa corona nyie hata ofisi hamna! Unaonyesha basi, nisawa nakuoa huna shuka wala kitanda.
Mkuu hilo bus tangu mwaka jana halijawahifika TZ ni Photoshop hiyo mkuu!Zawadi apewe lisu harafu gari liandikwe chadema!
Chadema ushamba utaisha lini? Sasa bus litawasaidia nini!
Mwezenu ccm katoa hela za mwenge ziende kwa corona nyie hata ofisi hamna! Unaonyesha basi, nisawa nakuoa huna shuka wala kitanda.
Hivi hili basi liliishakuja Tanzania au ilikuwa photoshop?Kwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust
Ndo gari lake la kutembelea huko ubelgijiHatimaye basi likaota mbawa
Hahaha labda ilikuwa zawadi ya kupumuliwa kisogoniKwa wapenzi wa demokrasia popote walipo ulimwenguni lazima tumpongeze mh Lissu kwa kukubalika kwake duniani kote.
Mh amekabidhiwa basi jipya kabisa ili litumike kukiimarisha chama chetu pendwa cdm na watanzania wanao ishi ubelgiji hongereni sana ndugu zetu.View attachment 1043864
In God we trust