Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Hivi unajua maana ya kuwindwa wewe?Habari wana Jamvi
Kwa mujibu wa taarifa niliyoipokea sasahivi kupitia Radio ya M/ kiti wa ccm Mwanza,Bwana Diallo kuwa,katika jimbo la Singida Mashariki uongozi wa ccm umemuagiza Mkuu wa wilaya,CAG na idara zinazohusika,wafanye ukaguzi katika mahesabu wa mfuko wa jimbo jinsi ulivyotumika.
Hali hii imekuja baada ya Uongozi wa ccm ngazi ya Mkoa na Wilaya katika ziara yao kufanya ziara jimboni humo kukagua utekelezaji wa ilani ya ccm.wamegundua kuna miradi hewa ambayo imetumia fedha zaidi ya milioni 400.
My take
Hivi mfuko wa jimbo ,mwenye mamlaka ya kuchukua fedha benki kuzipangia matumizi,na kuzitumia ni Mbunge?
Je,mfuko huo unaelekeza fedha hizo zitumike kwenye miradi gani?
Hivi halmashauri hiyo,wakati ripoti ya CAG ya 2013/2014, ikiwasilishwa kwa Spika na kamati ya PAC,taarifa ya Jimbo la Singida Mashariki hakuwemo?
Kila Halmashauri ina mchumi wake,je kwenye kikao cha Madiwani vipaumbele vyao havigusi mfuko wa Jimbo.Wadau hebu tupime kauli ya Katibu wa ccm wa Singida!
Habari wana Jamvi

Hivi unajua maana ya kuwindwa wewe?
Jibu hoja wacha kuwa kiojaWewe wasiwasi wako upi kama mbunge wako hajahusika na ufisasi wa matumizi ya mfuko wa jimbo?
Nimesoma sijaona sehemu yeyote Lissu akiwindwa, naona unalalamika tu kuhusu mfuko wa jimbo kama unaamini Lissu ni msafi wasiwasi wa nini sasa.Soma Ujumbe uliopo ndani
Ukweli utawaweka huru jibu hoja wacheni kuwa vioja holo jimbo nikati yamajimbo yanayofanya vema sana kwenye nchi hii sasa mnataka kuleta vioja jibuni hojaWe una nguvu ya kumtetea Lissu??!!
Kama unasema hachukui pesa benki unachecheta nini sasa??!?
Kama una uhakika PAC na CAG waliona safi motive yako ya "kuwindwa" ni nini??!!!
Kama unajua kuna mchumi na DT bado hofu yako inajengeka juu ya nini haswa??
Uchafu atole wapi wakati anawashugulikia ccm vilivyo. Nyie ndio mekosa pakutokea ndio mekuja na futuhi la Mfuko wa jimboNimesoma sijaona sehemu yeyote Lissu akiwindwa, naona unalalamika tu kuhusu mfuko wa jimbo kama unaamini Lissu ni msafi wasiwasi wa nini sasa.
Hivi unajua maana ya kuwindwa wewe?
Waanze na jimbo la pinda kule hakunaga maji wala barabara watoto wanakaa chini darasani