Tundu Lissu atinga Bungeni na kuamsha ari ya Bunge

Tundu Lissu atinga Bungeni na kuamsha ari ya Bunge

Lissu ni sawa na messi. Makinda mwenyewe analijua hilo.

attachment.php


attachment.php
 
Tundu Lissu anadhani anaweza "kuvaa viatu" vya Zitto, bado hajakomaa.
 
Hata Mimi nilikuwa nikifatilia, hakika ujio wa Lissu umeleta mwangwi mkuu
 
zito kamlinganishe na ccm yako huwezi kumshusha Lisu kiasi hicho!
Kamanda, uwezo wa Zitto ni mkubwa mara mia ya huyo mwanasheria kanjanja!

Lissu ni mwanasheria gagari, hata kesi zake mahakamani anashinda kwa kuwahonga mahakimu na mawakili wa upande wa pili.
 
Ag anatetemeka miwani imekuwa kubwa... bora hata werema na ile sura yake ya kivita
 
Back
Top Bottom