lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,154
- 33,364
Hunaga Akili kabisa wewe jamaa.Hata sijui dunia gani anayoiongelea huyu mbelgiji feki.
Hivi unashindwa hata kufahamu kuwa mabalozi wanawakilisha nchi zao?
Hujui kuwa mabalozi wote waliopo hapa wanaifuatilia kesi I hii,hujui kwamba hata balozi wa Rwanda anaifuatilia kesi hii?
Hujui kwamba hata balozi wa Uganda anaifuatilia kesi hii?
Hujui kwamba hata balozi wa Libya,Misri,SA na Russia wanaifuatilia kesi hii?
Achilia mbali hao mabalozi wa kibeberu wanaoenda Hadi mahakamani. Na hao sasa ndio wamefanya kesi hii ifuatiliwe na Kila Balozi na kwa kuwa mabalozi wanaifuatilia maana yake ni kuwa kesi hii inafuatiliwa na Dunia mzima.
Umeelewa wewe mgonjwa Mtambuka?