Tundu Lissu atilia mashaka uteuzi wa Jaji Mustafa Siyani kuwa Jaji kiongozi, aufananisha na Rushwa

View attachment 1969690

Akihojiwa huko CLUBHOUSE kwenye mahojiano yanayoendelea muda huu , Mh Tundu Lissu Amedai kwamba kwa namna yoyote ile , uteuzi wa jaji huyu anayesimamia Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu , tena ikiwa imesalia siku chache kabla ya uamuzi wa Kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ni sawa na Rushwa .

Bali Lissu ameonya kwamba , sarakasi zozote kwenye kesi ya Mbowe itaumbua vibaya sana Uongozi wa Awamu ya 6 kwa vile Dunia nzima inafuatilia kwa karibu sana kesi hii na Nchi ya Tanzania kuliko wakati wowote tangu nchi hii ivumbuliwe .
Aliyemdanganya SSH kuwa ili atoboe 2025 kwanza amfunge mbowe, kampoteza
 
Tanzania ina Majaji 86 wa Mahakama Kuu na walio senior miongoni mwao ni Judge Amiri Mruma, Judge Aboud , Judge John Utamwa, Judge Rumanyika wapo top 10 ktk majaji 86 huku Judge M. Siyani yupo nafasi ya 34 katika majaji 86 waliopo kazini.

Hata kama katiba haisemi jinsi gani rais ana mamlaka ya kumteua jaji aliyepo ktk kusikiliza kesi ya Mbowe, lakini desturi kupitia judicial courtesy uteuzi huu unaleta utata mkubwa kwa umma unaofuatilia kesi hii namba 16 / 2021 ya Uhujumu Uchumi na Rushwa anabainisha mwanasheria msomi nguli.

Uteuzi huu una ongeza presha kesi namba 16 / 2021 ya Uhumuju Uchumi na Rushwa ya Mbowe na wenziwe 3 irushwe live ktk TV anasisitiza mwanasheria msomi kufuatia mazingira ya uteuzi wa Jaji kuwa Jaji Kiongozi
Rais hateui mtu kwa utashi wake, anateua kulingana na mapendekezo ya tume ya utumishi wa mahakama, kwani kesi ya Mbowe inauspesho gani? ukisema usiteue mtu kisa anasikiliza kesi fulani basi hutoteua kabisa sababu hakuna Jaji hata mmoja mahakama kuu asokuwa na mashauri anayoyasikiliza, huyo Mbowe ndo binadamu pekee hao watuhumiwa wengine na kesi zao ni wanyama? Ubaguzi tuu.
 
Unaambiwa katika orodha ya majaji huyo Siyani ni namba 34 , kapendekezwa na nani ?
 
Aiseeee !!!

MSAJILI MKUU ASISITIZA WELEDI NA UWAZI KAZINI​

10-10-2021 0

Published By:LYDIA CHURI

Na Stanslaus Makendi- Mahakama Kuu, Dodoma
Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Wilbert Chuma, amewataka watumishi wa Mahakama kote nchini kuzingatia weledi na uwazi wanapotekeleza majukumu yao ya utoaji haki ili kujenga dhana chanya ya uadilifu kwa wananchi.

Mhe, Chuma alitoa wito huo Oktoba 8, 2021 alipokuwa akizungumza na watumishi wa Mahakama ya Wilaya ya Kongwa na Mahakama ya Mwanzo Kongwa katika ziara ya kikazi kukagua shughuli mbalimbali za utoaji haki. Amewasisitiza watumishi wote kutekeleza kikamilifu maagizo na maelekezo yanayotolewa na viongozi wa Mahakama ya Tanzania.

Msajili Mkuu alichukua nafasi hiyo pia kuwataka watumishi katika Mahakama hizo kuimarisha ushirikiano baina yao pamoja na Taasisi au vyombo vingine kwa kufuata utaratibu uliopo ili kutoathiri utendaji kazi wa Mhimili wa Mahakama.

Katika ziara yake ya siku moja kukagua shughuli za Mahakama katika Wilaya ya Kongwa, Mhe. Chuma amewasisitizia watumishi hao kuhuisha mara kwa mara taarifa za mashauri kwenye Mfumo wa Kusajili na Kuratibu Mashauri kwa njia ya Kieletroniki (JSDS II) ili kurahisisha utendaji kazi wa Mahakama na kuwa na taarifa zinazowezesha uongozi kufanya maamuzi.

Mhe. Chuma aliwapongeza watumishi wote kwa kazi nzuri wanayoendelea kufanya na kubainisha kuwa ni vyema watumishi wote wakaelewa maendeleo na maboresho makubwa yanayofanywa na Mahakama ya Tanzania, hivyo kuwa sehemu ya kuhabarisha umma na kusimamia utekelezaji wake.

Katika ziara hiyo, Msajili Mkuu pia alipata nafasi ya kumtembelea Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Mhe. Remedius Emmanuel, na kumwelezea umuhimu wa kushirikiana katika kutoa elimu kwa Umma ili wananchi waelewe taratibu za Mahakama na huduma zake, hususani katika eneo la mirathi, ndoa na talaka ambalo bado lina changamoto nyingi.

Alisema kuwa kumekuwepo na changamoto nyingi katika mashauri hayo, ikiwemo wasimamizi wa mirathi kuchelewa kufunga mirathi mahakamani, kugeuka na kujiona ni warithi halali, hivyo kujimilikisha mali kinyume na taratibu.

Msajili Mkuu pia alimwomba Mkuu wa Wilaya huyo kuendelea kusimamia vyema Kamati ya Maadili ya Maafisa wa Mahakama katika ngazi ya wilaya kwa lengo la kuimarisha maadili ya Maafisa hao na kudumisha ushirikiano usioathiri mipaka ya kazi za Mahakama na Taasisi zingine.
Habari hii imehaririwa na Faustine Kapama
 
Hivi mkuu Jimbi utakuwa lini na mawazo pevu?!!!

Wanaonijua watakucheka KWELIKWELI 🤣🤣

Sasa huyo mkuu wa mkoa Sofy na mimi wapi na wapi?!!

Umepandwa jazba na kuamua kujirushia tu mawe hovyohovyo?!! 🤣

Relax relax Jimbi 🤣

#SiempreJMT
Hihihihiiiii, "da sofy" basi yaishe.
 
View attachment 1969690

Akihojiwa huko CLUBHOUSE kwenye mahojiano yanayoendelea muda huu , Mh Tundu Lissu Amedai kwamba kwa namna yoyote ile , uteuzi wa jaji huyu anayesimamia Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu , tena ikiwa imesalia siku chache kabla ya uamuzi wa Kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ni sawa na Rushwa .

Bali Lissu ameonya kwamba , sarakasi zozote kwenye kesi ya Mbowe itaumbua vibaya sana Uongozi wa Awamu ya 6 kwa vile Dunia nzima inafuatilia kwa karibu sana kesi hii na Nchi ya Tanzania kuliko wakati wowote tangu nchi hii ivumbuliwe .

Yuko Ubelgiji anasumbua
 
🤣🤣Tundu Lissu hachoki tu kurudirudia msemo wake..."dunia nzima inaangalia"....ha ha ha ha

Dunia imeangalia.....na inaangalia na kuridhishwa na kipenzi chetu mh.SSH.....hakuna kitisho chochote kile.....

N.B

Shirika la ndege la USWIZI limetua na watalii wa kumwaga
Kama hujui wahisani wanashirikiana na wewe Hadi unajihisi lucky, kwa haya haya yanavyoendelea watakuacha ghafla
 
Unaambiwa katika orodha ya majaji huyo Siyani ni namba 34 , kapendekezwa na nani ?
Huna ulijualo afu unabisha upuuzi, Rais hateui mtu ambaye hajapendekezwa na tume ya utumishi wa mahakama, hata kama ni wa mwisho kwenye orodha, seniority sio kigezo cha uteuzi vinginevyo hata Jaji Feleshi asingeteuliwa sababu alikuwa Jaji wa Iringa na wala hakuwa mfawidhi lakini bado pia hakuwa akipendwa na JPM sababu ya Ile kesi ya samaki akiwa DPP JPM alimchukia sana lakini hakuwa na namna sababu ndiye alopendekezwa na tume ya utumishi ya Mahakama.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kuripoti mtu yeyote kupigwa ban humu JF , Ban mnatandikwa kwa matusi yenu , mara zote mimi huomba mods kunisaidia kuignore mtu fulani ikiwa kama mimi mwenyewe nashindwa kufanya hivyo
Ingekuwa ban zinatolewa kwa watukanaji basi wachadema niliwataja hapo wangekuwa wanapigwa ban kila wiki kwa matusi wanayorusha dhidi ya hayati Magufuli.
 
Huna ulijualo afu unabisha upuuzi, Rais hateui mtu ambaye hajapendekezwa na tume ya utumishi wa mahakama, hata kama ni wa mwisho kwenye orodha, seniority sio kigezo cha uteuzi vinginevyo hata Jaji Feleshi asingeteuliwa sababu alikuwa Jaji wa Iringa na wala hakuwa mfawidhi lakini bado pia hakuwa akipendwa na JPM sababu ya Ile kesi ya samaki akiwa DPP JPM alimchukia sana lakini hakuwa na namna sababu ndiye alopendekezwa na tume ya utumishi ya Mahakama.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Rais wa nchi gani anayefuata katiba , hawa marais wa ccm wameanza lini kufuata katiba , hilo pendekezo unalolisema liko wapi ? wadanganye mabwege
 
Huna hoja na ndio maana unachomeka uongo humu , hata hivyo tutahakikisha uongo wenu wa kutetea uozo unatokomezwa vibaya sana
Huwa siargue na wapumliwa visogoni aisee, kama umepewa elimu kidogo hutaki kuichukuwa hujazuiwa kukaa na ujinga wako kichwani, nimekuambia Rais hateui mtu ambaye hajapendekezwa na tume ya utumishi wa mahakama.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Akipita kimya kimya wale tulio na mitazamo tofauti na yake kwenye hili jukwaa la chadema tutapigwaje ban sasa?
Ni lazima atunukuu na kuturipoti kwa mods ili tupigwe ban abaki yeye na akina Bak, tindo, Mmawia nk wakitamba peke yao.
Kama hujui, hiyo nukuu yako hapo juu ni kunitaarifu kuwa ameshaniripoti kwa mods tayari, kwa hiyo niwe tayari!
Hili siyo jukwaa huru, hili ni jukwaa la kichadema!
Mbona ingependeza sana mkapewa uwanja wenu pekee mnyukane bila refa?

Mara nyingi mnakera sana mnapochafua maongezi hapa kwenye jukwaa hili la Siasa.
 
Back
Top Bottom