Tundu Lissu asisahau 1964 Zanzibar ilikuwa na Kiti chake UN sawa na Tanganyika

Attachments

  • main-qimg-dabc033474ff9b6225c1805d60d0b953.png
    main-qimg-dabc033474ff9b6225c1805d60d0b953.png
    4.3 KB · Views: 1
Tanganyika haijavaa koti la muungano, ilipoteza nafasi kama nchi lakini cha kushangaza zanzibar ina jeshi, bendera,katiba mpaka rais lakini tanganyika haina ivyo vyote
Basi na Tanganyika itambuliwe kama inavyotambuliwa Zanzibar
Zanzibar haina Jeshi, jeshi ni moja tu TPDF. Usijetutajia wale washika magendo wa KMKM.

Kwani antimatter kutotambuliwa Tanganyika kunakupunguzia nini wewe?
 
..kwa idadi ya wapigakura Znz ni sawa na ubungo.

..mbunge wa Znz anawakilisha watu wachache sana halafu analipwa mil 18 kwa mwezi sawa na wabunge wa Tanganyika
Ila pale UNO sasa UN
..wewe unazungumzia UN.

..sisi tunazungumzia BUNGE la muungano.

..huu utitiri wa wabunge na wawakilishi ni mzigo ambao walipakodi wanabeba gharama zake.
Wabunge wa Zanzibar ni wachache sana ujue 😂

Heri mkae kimya tu 🐼
 
Hata Tanganyika haina jeshi.
TPDF ni ya Tanzania.

Leteni hoja zenye mashiko
Kwani mimi nimekuambia naitaka Tanganyika? Ya kazi gani? Nimeishi na kusoma Tanzania mpaka nimestaafu, kuniambia leo eti nikomaze msuli kudai Tanganyika kwangu ni IRRELEVANT
 
Back
Top Bottom