antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 45,113
- 121,620
Wewe hutaki, ni sawa, tulia.Kwani mimi nimekuambia naitaka Tanganyika? Ya kazi gani? Nimeishi na kusoma Tanzania mpaka nimestaafu, kuniambia leo eti nikomaze msuli kudai Tanganyika kwangu ni IRRELEVANT
Sisi wengi tunaitaka Tanganyika, pamoja na serikali 3. Na wazanzibar wengi pia wanataka serikali 3..
Haiwezekani kikundi cha watu wachache kilazimishe umma kufuata mfumo wa hovyo milele