ufafanuz wa hakimu unaelekea kui2pilia mbali hoja ya 3. Tuwe wavumilivu
Kwasasa picha siyo mhimu kwetu tuna hitaji kujua kinachoendelea............Tupia picha picha.
Asante kamanda!!Hoja ya kwanza na ya pili zimepanguliwa,jaji anasoma hoja ya tatu.
"Eneo pekee usilotakiwa kuogopa ni mlango wa jehanamu ya moto maana unapokua hapo mahali hauna tena uchaguzi isipokuwa kifo"-Prof.Baregu,2010.
Kauli hii ya kimapinduzi ina maana sana kwa makamanda wote wanaofuatilia hii theread leo..tuishinde hofu,leo,hatuna uthibiti na hukumu inayosomwa ispokuwa kiuisikiliza kwa ushapavu na ujasiri.
mbona kimya wanajopo tupeni yanayojili mahakamani!!!!!!!!!!!!!!!!!
No it cant be.....Isango nithibitishie please kama nilichoambiwa na mtu aliyeko mahakamani ni kweli.Hapana au ninaota?
mbona kimya wanajopo tupeni yanayojili mahakamani!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wewe nawe ni kuthibitisha sio kudhibitisha kudhibitisha na kuthibitisha ni maneno mawili tofauti kabisa. Halafu mnajiita Watanzania hata kiswahili kinawapiga chenga nna mashaka sana uzalendo wa watu kama wewe.
Hapana nini sasa? utapataje jibu hapo ilihali Isango mwenyewe hujamwambia hapana nini?No it cant be.....Isango nithibitishie please kama nilichoambiwa na mtu aliyeko mahakamani ni kweli.Hapana au ninaota?