Tundu Lissu anaivuruga CHADEMA, naomba achunguzwe

R.B,

Umeandika vyema lakini nakuomba usikate tamaa kutoa elimu ya uraia humu JF kutokana na majibu dhaifu ya baadhi ya Pro-Chadema JF.

Lissu anawapoteza njia wabunge wa Chadema ni aibu kila kitu akisema Lissu mnakifuata bila kutumia akili zenu mungu katupa vichwa kwa ajili ya kufikiri sio kufugia nywele, kumbukeni hapo bungeni amkupelekwa na Tundu Lissu mmetumwa na wapiga kura wenu.

Huyu Liss mnayemfuata kwa upeo wake ni mdogo sana inashangaza mbunge kutumia magazeti ya udaku bungeni kama reference katika kujenga hoja zake halafu ni mwanasheria.
 
Last edited by a moderator:
Kuliko nyinyi mnaoenda kununua spoofing machine badala ya kutumia hizo hela kutekeleza ahadi zenu?
 

Kusoma hujui hata picha huoni? Tundu Lissu ndio anatoa amri wabunge wa Chadema watoke nje ya bunge tena kuna wengine hawataki kutoka lakini hawana jinsi.
 

aisee this week Tundu Lissu kasababisha posho zenu zimeyumba hapo lumumba hadi imefikia hatua ya kujivua ufahamu namna hii??
 
Kajifunze kusoma na kuandika kwanza,bado huna uwezo wa kuleta hoja kwenye mjadala wakati badoo hata kusoma na kuandika kwenyewe bado! Kuza reasoning capacity kwanza,karibu tena mwakani!
 
halafu hawa ndio wanataka kupewa nchi, watu si watapigwa risasi hadharani kwa visasi

Waliopigwa risasi Mwembe chai,Arusha,Walomchinja mkiti,wasababisha wakimbizi na mauaji Zanzibar,risasi juzi ijumaa Zanzibar,hao mnawatoa kafara kwenye meli nk yote yamesababishwa na nani?damu za watu mnaowaua zimeanza kuwalevya na bado.Eti uumpe nchi mtawala mwingine,wewe ni nani kwanza?Hakuna awezae kuzuia mabadiliko.
 

Wewe na huyu unayembeba wote hamjiwezi mtamwelimisha nani ikiwa mpo bure kabisa kuliko Nyumbu?
 
Last edited by a moderator:
Kuliko nyinyi mnaoenda kununua spoofing machine badala ya kutumia hizo hela kutekeleza ahadi zenu?

Hii nayo ni tamthilia ingine vipi singo ya kuuwa imeishia wapi? Hata Prof Lipumba alisema kuna mashine kutoka China ya kuchapisha kura.
 
aisee this week Tundu Lissu kasababisha posho zenu zimeyumba hapo lumumba hadi imefikia hatua ya kujivua ufahamu namna hii??

Mkuu kwa hiyo wewe unakula posho yako taratibu kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kindondoni mtaa wa Ufipa.
 
Hii nayo ni tamthilia ingine vipi singo ya kuuwa imeishia wapi? Hata Prof Lipumba alisema kuna mashine kutoka China ya kuchapisha kura.

Kwani kuua mmeacha? ili hali damu zimwangizazo ndo nguzo yenu ya kutawala.Pongezi shogaye nyarandu.
 
Kwani kuua mmecha? ili hali damu zimwangizazo ndo nguzo yenu ya kutawala.Pongezi shogaye nyarandu.

Mmempiga mawe ya kichwa kijana wa watu mpaka kapoteza maisha damu yake inaanza kuwatafuna kila siku mnazidi kuropoka hovyo.
 
Bora tu kutoka nje hata wakikaa hawasikilizwi....
Budget zote zinapitishwa na wale wanaojua ndiyoooooo tu pale bungeni...

Hapana kwa sababu hii .......hawasikilizwi
 
Mmempiga mawe ya kichwa kijana wa watu mpaka kapoteza maisha damu yake inaanza kuwatafuna kila siku mnazidi kuropoka hovyo.

Watumika kwa upuuzi wenu wakafanye fujo na wauaji ni nyie wenyewe ndo kawaida yenu utawala wa damu.
 
Wewe utakuwa JK umeingia JF na anonymous ID:

Katika campaign zako 2010 uliwahi kusema hivi "NI BORA DR. SLAA AINGIE IKULU LAKINI SIO TUNDU LISSU KUINGIA BUNGENI"

Sasa amengia bungeni na amekushika masuburi huna pa kutokea!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…