LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 26,790
- 41,283
sijui kwa nini amemuamini Lema ndugu wa FAMLissu imekula kwake!
sijui kwa nini amemuamini Lema ndugu wa FAMLissu imekula kwake!
Wafanye wanavyojua mwisho wa siku Suli mshindi hatutaki chagastan tribe to rule for Mo zan twenti wani yiazYes asubuhi walikua 900 total was 1200
Sisi tunaangalia, maamuzi ni yao kutupatia ujumbe kama wapo serious na mabadiliko au wanatamani kujiunga na vyama 14 marafiki wa CCM na kufanya idadi yao ifikie 15.Anamuamini vipi kama ataingiwa na roho ya ukabila manuever yakifanyika FAM ashinde?
tunaomba hao wajumbe wapiga kura wasiigeuze CHADEMA kuwa chama cha 15 marafiki wa CCM. Tunataka chama cha upinzani wa kweliSisi tunaangalia, maamuzi ni yao kutupatia ujumbe kama wapo serious na mabadiliko au wanatamani kujiunga na vyama 14 marafiki wa CCM na kufanya idadi yao ifikie 15.
Duuu, mchana walikuwa wanafanya nini kumbe?Muda huu ndo wana hakiki wajumbe
Tuonyeshe hizo Ngumi MzeeKwa jicho pevuu huu uchaguzi una ngumi hapo baadae kama sahivi tu kwenye kuhakiki majina watu wanazozana hivi asbuhi wapiga kura walitangazwa kuwa906 kufikia sahivi idadi imepiga u turn ni1007 Mpaka matokeo kutangazwa jumla ya kura ni2000
ungeziona endapo yeriko angejaribu na genge lake kumzuia lema kuingia eneo lileTuonyeshe hizo Ngumi Mzee