Tundu Lissu ametaka viongozi waliowahi kuongoza Wizara ya Madini wachukuliwe hatua

Hapo itabidi hata marais waliopita nao wachukuliwe hatua. Mawaziri wakuu waliopita nao ndani. Lissu aache kuongea tu aanze action ya kufungua kesi.
 
"hakuna chuma kinachonyooshwa bila maumivu"
Wenye akili wamenyamaza huyu lakini Dalali kafumu anatafta nini?
Mtu ambaye kahudumu kama kamishina Wa madini Kwa miaka zaidi ya kumi Leo anashauri serikali ifuate utaratibu gani? Huo utaratibu waliouzingatia wao tangu miaka yote hiyo umetusaidia nini kama taifa? Hizo taratibu za kuzingatia si ni wao ndiyo waliozipitisha?
Leo hii mtu ambaye ni party ya tatizo anathubutu kutoa ushauri unaopinga utekelezaji halafu tunamuangalia tu;
Hakuna mtu asiyejuwa udhaifu Wa Dalali kafumu, huyu mtu siyo muadilifu kabisa, usomi wake hauna tija yeyote ya kulisaidia taifa, uongozi wake alikuwa ni mtu Wa kukaa ofisini tu kama Secretary, hakufanya chochote cha maana, hata kipindi chake wala hakujali leseni za wachimbaji wadogowadogo; hajawahi tetea maslahi ya wazawa hata siku moja.
"Hivi kwanza utaanzaje kumshauri Mtaraka wako namna ya kuishi vizuri na mchumba wake Mpya? Ni ushauri Wa kinafiki huu"
Nashauri watu waliowahi shika nyazifa wizara ya nishati, wasinyanyue mdomo kupinga yanayofanyika; wanaothubutu wanyamazishwe Kwa kukemewa vikali!!!
 
Raisi wa chama cha Wanasheria Tanganyika Law Society ( TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ametaka viongozi waliowahi kuongoza Wizara ya Madini wachukuliwe hatua
Hatua hizo tuzijue kabla hazijachukuliwa, maana tusije kusikia wamepewa onyo Kali, au kifungo cha nje, tunataka wapewe adhabu kali
 
Uwezo wetu ni kudeal na matawi.......mizizi hatuiwezi, hakuna MTU anayeweza kuniambia huo wizi umeanza juzi mhongo alivyoshika madaraka, hayo madudu ameyakuta, amerithishwa, naye angemrithisha mwingine...... Hili hata Mh.Rais analijua na CCM yote inajua ........hata atakayeteuliwa hatafanya lolote zaidi ya kufunika kombe..
 
Kujihuzulu itatusaidia nn sisi wananchi maana kama wizi ulianza zaman sana na utazidi kuendelea
 
Chanzo kikubwa cha yote haya ni kutokana na bunge letu kuwa dhaifu. Bunge lipo kama kitengo cha mamlaka ya utawala katika ile mihimili mitatu ya dola. Wabunge hasa wa chama tawala badala ya kuibana serikali yeye husimama na kujibu hoja za wabunge wa upinzani pamoja na vijembe juu utadhani ni waziri. Mikataba ikifika bungeni, mbunge bila kuhoji yeye kazi ni kugonga meza na kuitikia ndiooooooo! Ebu tujiulize, bunge letu la leo lina ujasiri gani wa kuhoji haya na kuweza kuiwajibisha serikali zaidi ya kuisfia utadhani tumepiga hatua kweli! Waziri kujiudhuru au kamishina haisaidii lolote bila kudeal na chanzo cha haya.
 
"hakuna chuma kinachonyooshwa bila maumivu"
Wenye akili wamenyamaza huyu lakini Dalali kafumu anatafta nini?
Mtu ambaye kahudumu kama kamishina Wa madini Kwa miaka zaidi ya kumi Leo anashauri serikali ifuate utaratibu gani? Huo utaratibu waliouzingatia wao tangu miaka yote hiyo umetusaidia nini kama taifa? Hizo taratibu za kuzingatia si ni wao ndiyo waliozipitisha?
Leo hii mtu ambaye ni party ya tatizo anathubutu kutoa ushauri unaopinga utekelezaji halafu tunamuangalia tu;
Hakuna mtu asiyejuwa udhaifu Wa Dalali kafumu, huyu mtu siyo muadilifu kabisa, usomi wake hauna tija yeyote ya kulisaidia taifa, uongozi wake alikuwa ni mtu Wa kukaa ofisini tu kama Secretary, hakufanya chochote cha maana, hata kipindi chake wala hakujali leseni za wachimbaji wadogowadogo; hajawahi tetea maslahi ya wazawa hata siku moja.
"Hivi kwanza utaanzaje kumshauri Mtaraka wako namna ya kuishi vizuri na mchumba wake Mpya? Ni ushauri Wa kinafiki huu"
Nashauri watu waliowahi shika nyazifa wizara ya nishati, wasinyanyue mdomo kupinga yanayofanyika; wanaothubutu wanyamazishwe Kwa kukemewa vikali!!!

haya ni moja ya majitu yaliyotufikisha hapa p.u...vu sana wote waliokuwa makamishina wa madini washitakiwe
 
Mzee wa msoga njoo huku, wanakutafuta, eti uliwahi kuwa waziri wa Madini?, hebu toa maelezo
Kasome dossier ya mzee wa msoga na uswahiba wake na bwana 'Sinclair' mining prospector wakati alipokuwa waziri wa nishati na madini. Wenye taarifa ile hebu tuwekeeni hapa ili kuweka kumbukumbu sawa.
 
"hakuna chuma kinachonyooshwa bila maumivu"
Wenye akili wamenyamaza huyu lakini Dalali kafumu anatafta nini?
Mtu ambaye kahudumu kama kamishina Wa madini Kwa miaka zaidi ya kumi Leo anashauri serikali ifuate utaratibu gani? Huo utaratibu waliouzingatia wao tangu miaka yote hiyo umetusaidia nini kama taifa? Hizo taratibu za kuzingatia si ni wao ndiyo waliozipitisha?
Leo hii mtu ambaye ni party ya tatizo anathubutu kutoa ushauri unaopinga utekelezaji halafu tunamuangalia tu;
Hakuna mtu asiyejuwa udhaifu Wa Dalali kafumu, huyu mtu siyo muadilifu kabisa, usomi wake hauna tija yeyote ya kulisaidia taifa, uongozi wake alikuwa ni mtu Wa kukaa ofisini tu kama Secretary, hakufanya chochote cha maana, hata kipindi chake wala hakujali leseni za wachimbaji wadogowadogo; hajawahi tetea maslahi ya wazawa hata siku moja.
"Hivi kwanza utaanzaje kumshauri Mtaraka wako namna ya kuishi vizuri na mchumba wake Mpya? Ni ushauri Wa kinafiki huu"
Nashauri watu waliowahi shika nyazifa wizara ya nishati, wasinyanyue mdomo kupinga yanayofanyika; wanaothubutu wanyamazishwe Kwa kukemewa vikali!!!
Hebu nenda ukaone alichofanya huyu dalali kafumu maganzo.mwadui.ikonongo.bulumbaga.ikombabuki.idukilo mwang'holo. Yaani ni mambo ya ajabu!!!!!??? Haya amefanya wakati akiwa kamishina wa madini kanda ya ziwa.huyu anatakiwa akamatwe na kufungwa jiwe la kusagia shingoni na kutupwa bahalini.
 
Yani katika hao viongozi wa zamani, Lowasa na Sumaye hawaponi.
 
Ccm mjitafakari halafu muachie ngazi kuongoza nchi kumewashinda lazima mtumbuliwe mme kwangua rasilimali zote
 
Raisi wa chama cha Wanasheria Tanganyika Law Society ( TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ametaka viongozi waliowahi kuongoza Wizara ya Madini wachukuliwe hatua

Karamagi ndani.

image.png
 
"hakuna chuma kinachonyooshwa bila maumivu"
Wenye akili wamenyamaza huyu lakini Dalali kafumu anatafta nini?
Mtu ambaye kahudumu kama kamishina Wa madini Kwa miaka zaidi ya kumi Leo anashauri serikali ifuate utaratibu gani? Huo utaratibu waliouzingatia wao tangu miaka yote hiyo umetusaidia nini kama taifa? Hizo taratibu za kuzingatia si ni wao ndiyo waliozipitisha?
Leo hii mtu ambaye ni party ya tatizo anathubutu kutoa ushauri unaopinga utekelezaji halafu tunamuangalia tu;
Hakuna mtu asiyejuwa udhaifu Wa Dalali kafumu, huyu mtu siyo muadilifu kabisa, usomi wake hauna tija yeyote ya kulisaidia taifa, uongozi wake alikuwa ni mtu Wa kukaa ofisini tu kama Secretary, hakufanya chochote cha maana, hata kipindi chake wala hakujali leseni za wachimbaji wadogowadogo; hajawahi tetea maslahi ya wazawa hata siku moja.
"Hivi kwanza utaanzaje kumshauri Mtaraka wako namna ya kuishi vizuri na mchumba wake Mpya? Ni ushauri Wa kinafiki huu"
Nashauri watu waliowahi shika nyazifa wizara ya nishati, wasinyanyue mdomo kupinga yanayofanyika; wanaothubutu wanyamazishwe Kwa kukemewa vikali!!!

Mkuu kama uko karibu mwambie Ben na Chenge asiwaache.
 
Back
Top Bottom