Tundu Lissu ameanza kuishi kwa uwongo na udanganyifu!!

Mkuu nakukumbusha Lissu anarahana maana tangu alipomtukana baba wa taifa rahana hiyo anatembea nayo mpaka mwisho wake,
 
Mi nashangaa jamii forum imekua ya matusi, hivi makamanda wenzangu, hivi ndivyo tunavyojenga hoja? ? Tunataka mtu azungumze mambo ambayo sisi tunapenda kuyasikia tuu na wala hatutaki changamoto hata kidogo. Nadhani siasa haziendi hivi. Ni ujinga wa kumezeshwa maneno na kujihami tuuu bila haya ya kuwa na hoja.
Na mimi nawaambia kwa majibu haya tutapigwa mapeeema asubuhi Octoba. Haiwwzekani chama ambacho kinataka kushika dola kiwe namajibu ya kishenzi hivi. Mnaudhi. Hivi huko kwwnye kampeni mtazungumza nini, kwa sababu lazima mtaenda na kujibu maswali. Si tunataka kushika dola bwana lazima tuwe tayari kwa maswali ya kila namna.mazuri na mabaya. Tatizo naloliona Lowasa ni mweupe sina uhakika anaweza midahalo kwa sababu hajui kuongea. Anaishia kusema tu ana maamuzi magumu tu, ukimuuliza ni yapi, hata kukujibu anaweza kushindwa. Na ukimbana sana na wasiwasi anaweza meza ulimi. Na hapo itakuwa si rizki tena. Jamani mwaka huu tuna kazi kweli. Bado nalaumu kwanini Mbowe ulikubali mauzauza haya! Bora tungekuwa na babu Slaa na Lipumba wetu. Viongozi makini na wajenga hoja mtu akazielewa. Wasalaaam
 
  • Thanks
Reactions: nao
Jina lako linasadifu rubbish thread uliyoleta.Where is your point?what exactly you want to lie us????mental brinded arguements.Uhuru wa kutoa mawazo hili upo pale unapoleta rubbish thread zinazokandia upinzani,upande wa pili haziondolew wala kuunganishwa nazingne.Ww jinga sio mara kwanza kuleta thread za kijinga.Nashaur wenye uelewa mpana kutochangia threads zake za kijinga.Forebrain yako ni kama ya kobe.
 
Huyo kinana hataki madaraka?? Kama hataki anafanya nn akalale
Kila mmoja anahitaji madaraka tena CCM ndo ving'ang'aniziii
 
Naona Kibo255 umefuta post yako inayosema hakuna aliye msafi...umekiri
 
Last edited by a moderator:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwa-uongo-na-udanganyifu-57.html#post12982415

hii ndio thread iliyonifanya nikaanzisha thread kuhusu huyu bwana.

Inawezekana amemkashifu nyerere kwa kuwa uelewa wake ulikuwa ni wa kitoto au ulighubikwa na ulevi wa tasker

mkuu wewe ni mfatiliaji wa mambo nimekukubali lakini vijana wa kule kumbukumbu kama hizi hawana,
Ninaamini kwa kashifa lizompa baba wa taifa kamwa hawezi kufikia hata robo ya baba wa taifa kwa kazi na heshima aliyokuwa nayo nyerere,rahana inamfata kila mahali mjinga huyo
 
Naona Kibo255 umefuta post yako inayosema hakuna asiliye msafi...umekiri

Binadamu wote tunamapungufu hakuna mkamilifu nyerere alikuwa binadamu kama wewe lazima awe na mapungufu na hakuna aliye msafi wewe gamba ccm huu ndio mwisho wenu mtaweweseka sana
 
Last edited by a moderator:
Binadamu wote tunamapungufu hakuna mkamilifu nyerere alikuwa binadamu kama wewe lazima awe na mapungufu na hakuna aliye msafi wewe gamba ccm huu ndio mwisho wenu mtaweweseka sana

Mimi siwezi weweseka kama lissu bana.
Nifuatilie msimamo wangu utajua hilo.alichokifanya lissu sio mapungufu bali ni ufisadi kwa kukubali kununulika!
 
Nilimuheshimu sana mheshimiwa huyu na kumkubali hasa pale alipokuwa akitoa hoja zake bungeni na nikamuamini kama ni msema kweli na mtu mwenye msimamo usiotetereka..

kumbe sikuwa sahihi na ilikuwa ni suala la muda tu na price yake ilikuwa haijafikiwa.

Ni Tundu lissu aliyewaaminisha watanzania kuwa Chadema imejengwa kwa kumwaga damu za wanachama wake na hivyo haiko tayari kuiacha damu hiyo imwagike hivi hivi.

Ni tundu lissu aliyeaminisha umma kuwa bunge linafanya kazi kilaghai na kuliita 'Silly session' kwa kuwa wabunge hawakuwa wakweli katika kuwatetea watanzania.

Ni Tundu lissu aliyekuwa mbele katika kuitikana ccm na serikali yake lowassa akiwemo kuhusu ufisadi uliotamalaki serikalini.

Ni tundu lissu aliyeawaaminisha wanachasema na Cuf na Nccr kuwa katiba inayopendekezwa ni bomu na ni katiba ya kina Chenge na wenzake.lakini amekubali kuila meza moja na mwanaccm aliyeipinga katiba ya warioba!


Najiuliza ni lini Ndugu huyu ameanza kuishi uongo na udanganyifu???

Tundu lissu alimshutumu Nyerere kuwa alikuwa mwongo na mdanganyifu...lakini leo hii ni yeye aliyeanza kuishi uwongo na udanganyifu.

Kumbe Tundu lissu anaweza kununulika??

Tanzania politics is just another silly session!!!

Kinana alisema UKAWA ni genge la wanaotaka madaraka hakukosea kwa kauli hii kwani walitaka serikali tatu ili wapate vyeo tu na kutuongezea gharama.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Ukawa walichokosea ni njia wanayotaka kutumia kutaka kutwaa madaraka, wakoradhi kutumia njia chafu ilimradi ikidhi azma yao, kwa mtindo huu wanaweza pia kutumia njia haramu kupinga matokeo itokeapo kuwa kinyume na walivyotarajia kwakuwa ishara ni dhahiri wameukamia uongozi ukiangalia jinsi utaratibu waliotumia wa kuvunja kanuni ili wampate mtu ambae wanaamini atawafikisha huko hata kama huyo mtu anamapungufu fulani.
ukikamia kitu fulani ukakosa lazima uta react kwa ghadhabu kama utakosa kukipata. ndio wasi naouona
 
Utaweweseka sana wewe gamba mwisho wenu ndio huu sasa nchi inarudi kwa watanzania kutoka kwa mkoloni mweusi ccm

Ccm kuitwa mkoloni mweusi ni ulaghai wa wanachadema! Naona sasa mnataka mkoloni wa kichaga!!
 
mkuu kunakituko cha mwaka alikifanya Lisu nikaona kweli huyu jamaa akili zake hazina akili ,alipokuja mwanza na geita akaja na maneno ya hovyo kabisa
eti nimeenda mwanza,geita ,kigoma kagera nikitafuta kabila la magufuli
nilijiuliza maswali mengi sana kweli unaleta mambo ya ukabila?
nikakumbuka maneno ya baba wa taifa kuwa hatutamchangua kiongozi kwa kuangalia kabila lake,nikamuona lissu ni hewa kabisa,
 
Back
Top Bottom