Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,364
- 145,035
Una maana gani?Mtu kwao, raha zaidi ana vinasaba vya kutosha sio vya kutafuta kwa tochi kali.
Magufuli 2020 💪🏿💪🏿💉💉Huyu ndiye Mugo wa Kibiru aliyetabiri!
Kupita bila kupingwa ni uhuni, ni uhujumu kwa demokrasia, mgombea anaenguliwa kwa sababu hajaweka coma kwe sentensi moja alipo jaza fomu. Badala ya kumuita arekebishe wao humwondoa kabisa!Nyani Ngabu
..hizo nyimbo hapo chini ni za nyumbani?
..inafurahisha kwamba kuna matumaini ya kuwa na kampeni zenye USHINDANI.
..raha ya uchaguzi ni kutokuwa na uhakika wa matokeo.
..sijui kwanini wabongo wanapenda na kushabikia kupita bila kupingwa.
Mbona tumemuelewa sana! Tumempatia na jina la kishujaa, Tundu Lissu aka 'Kimila masasi'Dah!
Leo Mheshimiwa Lissu alikuwa nyumbani kabisa.
Ningekuwepo town ningemkaribisha Matobholwa pale nyumbani.
Ila hawa Wanyantuzu sidhani hata kama walikuwa wanamwelewa Lissu maana Kiswahili hawajuagi!
Hapo naona walikuwa wanaitikia tu.
Halafu utamsikia Ohhh CCM inapenda kutawala wajinga walioelimika Jimbo lake ambako kakaa mbunge miaka mingi hawajui kusoma Wala kuandika na hata kiswahili hawajui. Kashindwa kuwasaidia walau hata wajue kiswahil na kuwahamasisha waende kusoma shule za bure za serikali walau wajue hata kiswahil subiri CCM tutaenda Huko atatukomaDah!
Leo Mheshimiwa Lissu alikuwa nyumbani kabisa.
Ningekuwepo town ningemkaribisha Matobholwa pale nyumbani.
Ila hawa Wanyantuzu sidhani hata kama walikuwa wanamwelewa Lissu maana Kiswahili hawajuagi!
Hapo naona walikuwa wanaitikia tu.
Lissu kwao simiyu?Halafu utamsikia Ohhh CCM inapenda kutawala wajinga walioelimika Jimbo lake ambako kakaa mbunge miaka mingi hawajui kusoma Wala kuandika na hata kiswahili hawajui. Kashindwa kuwasaidia walau hata wajue kiswahil na kuwahamasisha waende kusoma shule za bure za serikali walau wajue hata kiswahil subiri CCM tutaenda Huko atatukoma