Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

Chadema haya matukio wanafanya kusudi wanajua wakitulia umaarufu wao kwisha, akitoka mbowe, ataunga lisu mara utamskia mwingine...hawana lolote wanakula tu ruzuku ya chama kwa kesi nyingi badala ya kujengea ofisi za vyama vjijini..hawana lolote na wananchi wanazid kumuunga mkono Rais Magufuli.... Na watatapatapa saana lakin hawata furukuta..
 
Nnaona umeamua kutoa mipasho badala ya kuchangia,kilicho mezani ni tofauti kabisa na ulicho changia...
 
Kesi inaendelea mahakamani wakili wa serikali wamewasilisha mahakamani pingamizi la dhamana.
Wanaomba ombi la dhamana kufungiwa kwa muda wa wiki mbili
 
UPDATES.!!

Mawakili wa Serikali wamemuomba Hakimu ili Peter Kibatala awe shahidi upande wa Jamhuri badala ya kuwa Wakili wa Lissu. Upande wa Jamhuri umesema Kibatala anapaswa kuwa shahidi wap maana anajua statement aliyoisema Tundu Lissu na alikwepo wakati Lissu akisems maneno hayo wanayoita wao Uchochezi. Hivyo kwa mujibu wa sheria hawezi kuwa Wakili wa Lissu na baadae akawa tena shahidi wa jamuhuri.

Kibatala amewaambi amekataa ombi hilo la Jamhuri na kusema "Mnanilazimisha niwe shahidi wenu!?? Siyajui hayo maneno na sikuwepo wakati huo mnaodai Lissu aliyasema"

Hakimu amekataa ombi la Upande wa Jamhuri la kutaka kumtumia Kibatala kama shahidi wao kwa kuwa hoja yao haina mashiko.!
 
Mambo ya aibu haya serikali mpaka inalazimisha mashahidi.
 
unaporuhusu mtu kufanya mikutano jimboni mwake lakini hana uhuru wa kuongea maana yake nini kama sio kuwaogopesha wapinzani. Polisi wawatengenezee ajenda za mikutano basi. Lakini ni vema ne' UCHOCHEZI" /MANENO YA UCHOCHOZI" likapata tafsiri sahii
 
Mbunge wa mahakamani,akistuka miaka mitano imeisha
Lussu amezoea kukashifu viongozi,alipeta akiwa bungeni kwa kuwa kuna kinga,uraini unapewa tu vimeo hata kesi kumi,ndimo walimopira kina Mrema huko
Lisu ni hero wa mamilioni ya watanzania
 
Mwisho wa Bush na Osama ulikuwaje?
Nyie hakuna mnachoweza zaidi ya kuangaika na mambo ya hovyo hovyo.Wauaji wa Albino tu wamewashinda
UPDATES.!!

Mawakili wa Serikali wamemuomba Hakimu ili Peter Kibatala awe shahidi upande wa Jamhuri badala ya kuwa Wakili wa Lissu. Upande wa Jamhuri umesema Kibatala anapaswa kuwa shahidi wap maana anajua statement aliyoisema Tundu Lissu na alikwepo wakati Lissu akisems maneno hayo wanayoita wao Uchochezi. Hivyo kwa mujibu wa sheria hawezi kuwa Wakili wa Lissu na baadae akawa tena shahidi wa jamuhuri.

Kibatala amewaambi amekataa ombi hilo la Jamhuri na kusema "Mnanilazimisha niwe shahidi wenu!?? Siyajui hayo maneno na sikuwepo wakati huo mnaodai Lissu aliyasema"

Hakimu amekataa ombi la Upande wa Jamhuri la kutaka kumtumia Kibatala kama shahidi wao kwa kuwa hoja yao haina mashiko.!
Moderator wekeeni hii update hapo juu tutawashukuru sana maana hii ni kali ya mwaka kama sio karne!!
 
UPDATES.!!

Mawakili wa Serikali wamemuomba Hakimu ili Peter Kibatala awe shahidi upande wa Jamhuri badala ya kuwa Wakili wa Lissu. Upande wa Jamhuri umesema Kibatala anapaswa kuwa shahidi wao maana anajua statement aliyoisema Lissu na alikwepo wakati maneno hayo yakitamkwa. Hivyo kwa mujibu wa sheria hawezi kuwa Wakili wa Lissu na baadae akawa tena shahidi wa jamuhuri.

Kibatala amewaambi amekataa ombi hilo la Jamhuri na kusema "Mnanilazimisha niwe shahidi wenu!?? Siyajui hayo maneno na sikuwepo wakati huo mnaodai Lissu aliyasema"

Hakimu amekataa ombi la Upande wa Jamhuri la kutaka kumtumia Kibatala kama shahidi wao kwa kuwa hoja yao haina mashiko.!

Copy and Paste
 
Back
Top Bottom