Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Taarifa ambazo tumezipata muda huu Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu anatarajia kupelekwa mahakama ya Kisutu muda huu. Baada ya kukamatwa jana kwa tuhuma ambazo haziwekwa wazi.
From Tundu Lissu!
Brothers and sisters. Greetings from Kisutu RM's Court. I'm due to be arraigned any time now. I intend to defend myself as fully and as ferociously as I know how. Should I get bail, I intend to fly to Arusha on the next available flight TODAY to be able to participate in the elections in person. If, for whatever reason, I'm unable to do so, I trust you all to do the right and courageous thing. Hope to see you all TODAY!!!!
=========
UPDATES
=> LISSU KORTINI: Mbunge Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar, asuburi kupandishwa kizimbani kusomewa mashtaka.
=> Lissu amesomewa Mashitaka matano(5) yale yale aliyofutiwa kuhusu maneno ya Uchochezi kwenye Uchaguzi wa Dimani Zanzibar.
=> Serikali imesema Upelelezi umekamilika hivyo kesi ianze kusikilizwa.
=> Lissu amejitetea kwamba kesi isisikilizwe leo ili akashiriki Uchaguzi wa TLS.
=> Wakili wa Serikali ameomba Masharti ya dhamana yasiwe kama ya kesi namba 48 sababu muda umepita na hii ni kesi tofauti.
=> Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana bondi ya milioni 10.
=> Amedhaminiwa na Diwani wa Kurasini
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema akiwa na Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu nje eneo la mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana.